Arsenal hua hatuna kawaida ya kushinda Anfield.
Ni miyeyusho ila ndiyo ukweli.
Kikosi chetu kwa sasa kina Tavares, Ramsdale, Lokonga, Emile na Tomiyasu ambao wanadisplay mentality ya ushindi. Kama leo wakija na mentality hii na wakaambukizwa wachezaji watatu wengine then we have got a chance.
Liva atamiliki mpira. Imekua hivyo tangu alivyomaster gegenpress wakicheza na timu zingine hua hawamiliki sana mpira coz wenzetu wengine hawahofii kusogea mbele.
Hapa ndiyo nikasema Renato anahitajika.
Hawa wakina Ramsdale watatufaa for the time being. Leo ni kujaribu kumkanyaga kuku.