Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii West ham ya sasa hivi niaje, mbona inakuwa tishio hivi?
 
Usajili wa Nao lang 1v1 Specialist LW cus ESR anacheza vizuri akiingia inside, lazima utaitransform Arsenal kwenye final third, decision making kwenye final third bado hatupo level ya City. Magoli mengi ni setpices & Transition.

Granit Xhaka naye akirudi Itatupa ubora wa kuwin possession & control games.

Nao lang + Vlahovic, paka inaogopesha hii Arsenal.
 
Msimu uliopita Arsenal tumepoteza points nyingi kutokana na individual's errors na poor decision making.

Mnahitaji point moja mechi ni ngumu kisha Pepe atamkaba mtu atagewa red. Huku beki atasababisha penati, hamjakaa vizuri Leno na Xhaka wanasababisha goli.

Ilikua ni back passes, makosa ya wachezaji ndivyo vilitugharimu alama.

Watu wakasema Arteta hana plan. Lakini imekua wazi kwamba Arteta alikua na plan ila hakukua na wachezaji wa kutekeleza plan husika so wakifuck up the whole plan falls appart kisha inaonekana hakukua na plan from the beginning.

Xhaka alipata red game dhidi ya City a reflection of how much individual errors zilitusumbua na kugawa points za bure hovyo.

Auba leo ameonyesha yale yale, amekua miyeyusho. Ni hizi individual performance ndizo zilituua na Arteta kusema bado hana watu wa kucheza 4 3 3
 
Kusema kweli sidhani kama Arsenal wanaweza kutoa mpunga wote huo... Vyanzo vinasema club zimeshakubaliana ila mchezaji mwenyewe na Arsenal hawajakubaliana terme and conditions... Mimi naamini kama hilo deal lipo kweli hicho kiwango cha fedha kitapungua
Euro 80 ni sawa na Paund 68M
 
That's the problem, do you think Arsenal atashinda Anfield?I don't think so na problem ya Arsenal away in big games ni kukosa confidence that's it
Bado timu haijanipa imani kwamba tutashinda. I know this is football and anything can happen lakini nadhani tusipofungwa itakuwa matokeo mema sana kwetu
 
Back
Top Bottom