Ligi ilipoanza mechi ya kwanza ilipoisha kila timu iligewa title yake.
Spurs alikua title contender.
United alikua title contender.
Arsenal alikua relegation contender.
Mechi ya pili na ya tatu bado kila timu ilishikilia title yake.
Fast forward mechi ya 10 tayari 'title contender' Spurs ameshafukuza kocha analazimisha wachezaji wasiondoke na amemuibia potential coach 'title contender' mwenzake na hana mpango wa kupambania kombe.
Mashabiki wa United wamesema mpaka sasa hawapo tena kwenye mbio za ubingwa. Same fans waliosema wao ni title contender, #OleOut imekua maarufu na inarudiwa rudiwa kuliko kumsifia Ronaldo.
Leo Arsenal tumekua presented na chansi nyingine ya kumruka 'title contender' mwingine. We are up against Watford, msimu nyuma fanbase ya Arsenal ilienjoy Watford kushushwa daraja baada ya maneno ya dharau ya Delaney, na ili ishuke ilibidi Arsenal ife kwa Villa, Arsenal ikafa kwa Villa, Delaney na Watford wakaenda championship.
Next season West Brom coach followed same path as Delaney, akaiita Arsenal ni mpambania kutoshuka daraja kama West Brom. Kilichofuatia ni kipigo kutoka kwa Arsenal na kushuka daraja.
Hii Watford ndiyo tunakutana nayo leo. Kinachotakiwa ni ushindi, ikiwezekana uwe ushindi mkubwa as hatuwezi jua safari hii Delaney na 'title contenders' watasema nini.