Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nawasalimu Gunners wenzagu. Tetesi zilizopo, dirisha dogo kuna reinforcement ya kikosi nadhani wachezaji kadhaa wataondoka. Mungu akipenda tukamfunga Liverpool, confidence ya timu itapanda. Lakini kama Westham aliweza, kwa nini tusiweze? Aubameyang alipata injury mechi dhidi ya Libya. not sure if he will be available on Saturday.
 
Msimu uliopita tulichukua trophy mbele ya liva. Villa akampiga Liva 7 sisi tukapasuka tatu.

Apparently kutokana na speed ya Liva unahitaji counter na clinical finisher. Ni msimu huu tu ndiyo Arsenal tumeonyesha tunaweza kucounter kwenye clinical finishing bado kuna shida.
 
Kuna options 3 za Zakaria, Kamara na Kessie.

Aje Kessie
Kessie ni mchezaji wa Ivorycoast kama sijakosea, target ya Arsenal ni kwamba kupata mildified mbadala wa Partey na Elneny kwenye kiungo cha ukabaji ambao mwezi January watakuwa kwenye mashindano ya Afcon

Na ndio maana kumekuwa na tetesi za kuuzwa kwa Pepe na Elneny moja kwa moja na kupata replacement zao mapema coz hao wote pia watakuwepo kwenye Afcon

Pale mbele pia tunahitaji clinical finisher ambaye atakuwa ni damu changa kama target ilivyo kwa striker wa Fiorentina Dusan Vlahovic, na mildified mkabaji kuna interest kwa Van de Beek kutoka Man U
 
Nilikua sijui kama De Beek ni mkabaji.

Ila kama siyo Kessie basi Renato Sanches atafaa

Tuache kuchukua rejects wa timu zingine.
 
Yaah ni kweli ila now Arsenal kuna kikosi fulani hivi cha vijana wanajaribu kukijenga ili kikae pamoja muda mrefu na kianze kuleta matokeo

Player yeyote atayesajiliwa pale hawezi kuzidi miaka 23
 
Barca wamemrudisha Alves siyo kwamba wamekosa kijana ila kua na mzoefu siyo jambo baya
 
Renato Sanchez Renato Sanchez Renato Sanchez Renato Sanchez Renato Sanchez aaaah!

Castr Renato Sanchez anafanya nini? Wachezaji wameisha hadi kumrudia huyo mtu aliyeshindwa Bayern hadi Swansea!

Jifunze tena na tena Àngel Di María was the best Real Madrid na alifeli Manchester United, na the best tena PSG – Same scenarios to Depay, Martial, Van der Beek, Roberto Soldado, Radamel Falcao, Eliaquim Mangala, Gonzalo Higuain, Alvaro Morata, Juan Cuadrado etc.

Renato Sanchez ni mmoja wao born to shine in farmers leagues! huyo Renato alifeli PL alifeli alifeli alifeli Swansea, msituletee ya Pepe!
 
Ha haaaaaaaa kabsa kaka
 
Aaron Ramsey mambo hayamuendi vizuri pale Juve na anataka kurudi Arsenal. Je Arsenal wapo tayari kumlipa 400K pounds kwa wiki anazolipwa kwa sasa na Juve? au they will have to lower his wage. lakini tatizo lake kubwa ni injury prone. investing substantial amount of money on player who is likely to have few minutes of playing time is a waste of money. watumie hizo hela kumtafuta central striker mzuri; Laca na Auba are betrayed by their ages - so is their performance on the pitch in recent days. Anatajwa Vlahovic lakini kwa jinsi anavyotafuta na vilabu vikubwa huko Ulaya, naiona nafasi ya kumpata kama ni sifuri unless we improve our performance between now and January ili ashawishike kuiona timu kama ina future nzuri.
 
Renato Sanchez Renato Sanchez Renato Sanchez Renato Sanchez Renato Sanchez aaaah!

Castr Renato Sanchez anafanya nini? Wachezaji wameisha hadi kumrudia huyo mtu aliyeshindwa Bayern hadi Swansea!

Jifunze tena na tena Àngel Di María was the best Real Madrid na alifeli Manchester United, na the best tena PSG – Same scenarios to Depay, Martial, Van der Beek, Roberto Soldado, Radamel Falcao, Eliaquim Mangala, Gonzalo Higuain, Alvaro Morata, Juan Cuadrado etc.

Renato Sanchez ni mmoja wao born to shine in farmers leagues! huyo Renato alifeli PL alifeli alifeli alifeli Swansea, msituletee ya Pepe!
Sikubaliani na wewe, mchezaji kushindwa ku-shine kwenye timu moja haina maana kwamba he is written off, Muone Salah wa Chelsea, and many others. Renato namkubali. Pepe mnakosea adabu, he flopped on his first season at the club but came to life on subsequent seasons. How many times has he rescued the club? I believe lack of playing time is to blame on his current form.
 
Wataje hao many others! Salah ni mmoja tu na sio kwamba alifeli Chelsea bali hakupata nafasi kama Serge Gnabry! Nafasi akapata Roma.

Huyo Renato alifeli tena sana, alianza kufeli Bayern hawakuamini wakahitaji kujiridhisha walichokiona watahadithia vizazi. Btw, wachezaji wapo wengi tuachane na huyo maana vithibiti vipo aliwahi kucheza PL na hakufanya vizuri.

Is there anyone rescued the club than Bendtner? Pepe angekuwa bora angepewa nafasi, hapewi nafasi maana waliopo wanadeliver zaidi yake he need to leave our club even today!
 
Back
Top Bottom