Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Oya wakuu alie elewa hii offside iko vipi hapa
Walitakiwa wawepo wachezaji wawili wa watford mbele ya Saka wakati anapokea mpira
Oya wakuu alie elewa hii offside iko vipi hapa
Saka alikuwa amemvuka kipa na kuna beki mmoja tu. Kisheria kunatakiwa kuwa na angalau wawili.Oya wakuu alie elewa hii offside iko vipi hapa
Watford wanacheza mpira wa kihuni
Watford wanacheza mpira wa kihuni

Naam habadiliki asee" ilibidi angetumia busara amuachie laca ingawa yeye ndo mpigaji"Always Auba takes penalty on the right side![]()