Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Ukiwa shabiki wa Arsenal kwa kipindi hiki raha sana, unaona miujiza ambayo hukufanikiwa kuiona kwa miaka mingi, progress ni kubwa sana chini ya Arteta, athletes kama Tomiyasu/White/Gabriel wanafanya kujiamini kunaongezeka. 9 games unbeaten tunaendeleza unbeaten run vs Watford.
Game yoyote ngumu kwa sasa ni supertest kwa Mentality ya wachezaji wetu, Maana kama best X1 tunayo, Structure tupo sawa, press ipo vizuri, play out ipo vizuri, Transition ndio balaa. Yaani inshort hatuogopi mechi, In mikel we trust.