Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FC9YpEmXIAUapZN
 
Ni vizuri upo hai. Ilidhaniwa umejinyonga kutokana na kukerwa na matokeo ya united.
Matokeo yana kera kwakweli, ila mashabiki wa Man United hatuna utamaduni wa kujitia kitanzi pindi timu yetu ikiwa inafanya vibaya, tabia hiyo mnayo mashabiki wa Arsenal, siunakumbuka kilicho tokea Kenya?
 
Sikumbuki. Ilikuaje
 
Sikumbuki. Ilikuaje
Sikumbuki vizuri,ila nahisi ni baada ya kupoteza fainali na Barcelona, mashabiki wawili tena wafamilia moja walijitia kitanzi baada ya Arsenal kupoteza fainali ile.
Hiyo ilitokea Kenya.

Mashabiki wa Arsenal uvumilivu ni mdogo pindi timu yao ikifanya vibaya, mfano mtu kama Pen killer kaamua kuamia Man City, wengine humu, mfano Dullar Jr timu ikifanya vibaya hukimbia jukwaa na wengine mfano Computer Arsenal ama Wacha 1 wameamua kubadili I'd.

Hiyo ni tofauti na mashabiki wa Man United, timu inafanya vibaya lakini tunaamini "ni mawimbi tu" yatapita na chombo kitakaa sawa.

Ukikatiza kwenye jukwaa letu ni moto, mijadala inaendelea kama zamani utadhani tunaongoza ligi vile.
 
Nakushauri ungejikita zaidi kwenye kuchimba madini, familia inakutegemea
 
Sikumbuki vizuri,ila nahisi ni baada ya kupoteza fainali na Barcelona, mashabiki wawili tena wafamilia moja walijitia kitanzi baada ya Arsenal kupoteza fainali ile.
Hiyo ilitokea Kenya.

Mashabiki wa Arsenal uvumilivu ni mdogo pindi timu yao ikifanya vibaya, mfano mtu kama Pen killer kaamua kuamia Man City, wengine humu, mfano Dullar Jr timu ikifanya vibaya hukimbia jukwaa na wengine mfano Computer Arsenal ama Wacha 1 wameamua kubadili I'd.

Hiyo ni tofauti na mashabiki wa Man United, timu inafanya vibaya lakini tunaamini "ni mawimbi tu" yatapita na chombo kitakaa sawa.

Ukikatiza kwenye jukwaa letu ni moto, mijadala inaendelea kama zamani utadhani tunaongoza ligi vile.
Mijadala ya Ole Out 😅😅😅
 
Back
Top Bottom