Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Hakuna tatizo mzee, itakuwa nilikuelewa tofauti.Ananiumbua na nini?
Kwanini mnafosi kwamba mimi nimesema Aaron kiwango kidogo?
Day one ananunuliwa hoja yangu ilikua jamaa ni overpriced.
Ukaja ukasema ni mzuri kuliko Leno. Nikajibu (Na mara zote najibu hivyo) ana communication nzuri ila kwenye shot stopping hajamfikia Leno.
Mnakomaa ishu ambazo sijazisema. Now kama mnawish niseme hivyo semeni I will gladly oblige.