Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu nakuelewa unachokisema ni kwenye 4231 ambayo buildup shape inakuwa 3-2-5 ila kwa 433 unahitaji kuwa na full backs wanaoenda High kukupa Width pande zote kama Liverpool. Arteta anasema ni muumini wa 433 ndio maana naona kuna tetesi za ujio wa right back kama Max Aarons.
kama ni kweli anahitaji fullback mwingine basi sawa, japo kwasasa walisema wanafocus kwenye midfilders na forwad
 
Class and superb.
FDActkAXIAYqzO0
 
wewe mm nakushauri kubali kulamba matapishi yako kama uliponda huo usajiri ukitaka hao kina onana ,

rams na huo mfano wa kina kepa ni maji na mafuta

unamzungumzia kipa aliyeshuka daraja mara mbili, halafu arteta anampambania , akiwa anauzwa paun million 40, hivi unadhan wachezaji wanaoshuka daraja wanauzwa bei kubwa? ni lazima awe na kitu cha ziada

kumbuka hapo kuna makipa wengine wa bei rahisi... why klabu itoe mill 30 ? usawa huu..lazima ukubali kuheshimu kazi za watu

mbona wengi tu wametubu na amekuwa kipenz cha mashabiki wakati anatambulishwa zilikuwa kejeri tu
Unaandika nini sasa hapa?

Mimi naongelea yeye kua overpriced wewe unaniletea stori za matapishi
 
Huwez kucheza back 4 ya mari na holding uka achieve chochote, kuwafichia uzaifu wao unahitaji back 3 /5

na malengo ya arteta ni 4-3-3 hivo ilikuwa swala la muda kutowaona na kubaki Wachezaji wa carabao tu, mbona simple tu

hivi zile semi fainal na fainal ucheze na mari holding utabaki salama kweli

HUWEZ KUCHUKUA KOMBE LOLOTE BACK 4 YA HUYO HOLDING NA MARI, bora mwanangu holding ana moment zake kadhaa,

hizo fainal ulizochukua mari na holding akiwa ndani ni zipi... hao ni average player jombaa... au unadhani wanaonewa kusugua benchi

lineup-100.png

0_Arsenal.png
Am pretty sure haujaaddress nilichoandika.
 
Unaandika nini sasa hapa?

Mimi naongelea yeye kua overpriced wewe unaniletea stori za matapishi
najua umejificha kwenye hiko kichaka cha overprice, lkn nitakuibua tu, hadi ulambe matapishi yako

ifike mahala muheshimu kazi na taaluma za watu
 
najua umejificha kwenye hiko kichaka cha overprice, lkn nitakuibua tu, hadi ulambe matapishi yako

ifike mahala muheshimu kazi na taaluma za watu
Hahaha dah nimekubali spirit yako. Ukikuta popote nimeandika kwamba Ramsdale hafai kwakua ni kinabo sitarudi huu uzi tena.
 
Huwez kucheza back 4 ya mari na holding uka achieve chochote, kuwafichia uzaifu wao unahitaji back 3 /5

na malengo ya arteta ni 4-3-3 hivo ilikuwa swala la muda kutowaona na kubaki Wachezaji wa carabao tu, mbona simple tu

hivi zile semi fainal na fainal ucheze na mari holding utabaki salama kweli

HUWEZ KUCHUKUA KOMBE LOLOTE BACK 4 YA HUYO HOLDING NA MARI, bora mwanangu holding ana moment zake kadhaa,

hizo fainal ulizochukua mari na holding akiwa ndani ni zipi... hao ni average player jombaa... au unadhani wanaonewa kusugua benchi

lineup-100.png

0_Arsenal.png
Ila mkuu tukubaliane tu kwamba wewe huwakubali Mari na Holding ila sio average player lkn pia issue ya Aaron Ramsdale kaonyeaha kiwango kikubwa sana mpaka hela aliyonunuliwa tunaona ni sahihi kabisa
 
Huwez kucheza back 4 ya mari na holding uka achieve chochote, kuwafichia uzaifu wao unahitaji back 3 /5

na malengo ya arteta ni 4-3-3 hivo ilikuwa swala la muda kutowaona na kubaki Wachezaji wa carabao tu, mbona simple tu

hivi zile semi fainal na fainal ucheze na mari holding utabaki salama kweli

HUWEZ KUCHUKUA KOMBE LOLOTE BACK 4 YA HUYO HOLDING NA MARI, bora mwanangu holding ana moment zake kadhaa,

hizo fainal ulizochukua mari na holding akiwa ndani ni zipi... hao ni average player jombaa... au unadhani wanaonewa kusugua benchi

lineup-100.png

0_Arsenal.png
Mkuu hivi vikosi umechanganya kwenye vikosi vya fainal zote mbili hakuna gem mustafi alicheza na pia ceballose na Lacazette walicheza fainali moja yaan FA lkn ngao ya jamii wote hawakuwepo.
 
Ila mkuu tukubaliane tu kwamba wewe huwakubali Mari na Holding ila sio average player lkn pia issue ya Aaron Ramsdale kao fnyeaha kiwango kikubwa sana mpaka hela aliyonunuliwa tunaona ni sahihi kabisa
mm nakubaliana na jamaa hao holding na mari ni average ndio maana wamekuwa dropped, benchi la ufundi sio vichaa wawaache mabeki bora wacheze carabao na fa
 
mm nakubaliana na jamaa hao holding na mari ni average ndio maana wamekuwa dropped, benchi la ufundi sio vichaa wawaache mabeki bora wacheze carabao na fa
Mkuu huyo average player ndo alicheza fainali zote mbili km CB na timu ikashinda. FA Holding na Luiz na Community shield Holding na Luiz. Sasa je amekuwa hivi karibuni baada ya Luiz kuondoka?? Na km ni hivyo basi hilo bench la ufundi pia bovu kuondoa world classic defender David Luiz na kuacha Average player Holding. Ila nadhani umesahau kuwa Holding ameanza kuwa bench baada ya kupata majeraha
 
tunazungumzia mari na holding , luiz aliondoka majeruhi mengi , na umri , arsenal ya sasa ni vijana tu

holding alishacheza hata fainal na per , ila holding hana consinstency ,ndio maana haaminiki ,ni average
 
Wewe jamaa unashindwa kutetea hoja yako. Kwahiyo Holding anakuwa average pale anapopangwa na pablo mari pekee? Mkuu kwenye mpira kuna partner huwa zinakubali na kuna partner huwa zinakataa kumatch hii ni kulingana na aina ya wachezaji na uchezaji wao kulingana na mahitaji ya mwl.kwenye mechi husika.

Luiz alikuwa anafanya vzr akiwa na Holding ndo maana mechi nyingi walikuwa wanapangwa pamoja na hapo Gabriel alikuwa anasubili bench na kwa aina ya uchezaji wa pablo Mari huwezi kuwaweka pamoja na Gabriel wakafanya vzr kwa kuwa uchezaji wao unafana yaan sio watu wa speed ila wanajua kukaba kwenye njia alafu wako tough na wote ni left footie lkn pia kazi inayofanywa na Gabriel akiwa na White ndio ilikuwa inafanywa na Holding akiwa na Luiz. Sasa mimi naomba nikuulize km msimu jana na juzi kipindi ambacho Gabriel alikuwa anawekwa bench je alikuwa ni average player??
 
Mzee wangu Castr data zinakuumbua huku, dogo anaongoza yupo on top.
xG on target not incl. shots blocked / off target. He prevents 0.31 goals per game.View attachment 1994001
Ananiumbua na nini?

Kwanini mnafosi kwamba mimi nimesema Aaron kiwango kidogo?

Day one ananunuliwa hoja yangu ilikua jamaa ni overpriced.

Ukaja ukasema ni mzuri kuliko Leno. Nikajibu (Na mara zote najibu hivyo) ana communication nzuri ila kwenye shot stopping hajamfikia Leno.

Mnakomaa ishu ambazo sijazisema. Now kama mnawish niseme hivyo semeni I will gladly oblige.
 
Back
Top Bottom