Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilishaelezea ishu ya Ryan. Ukiangalia vizuri utakuta.
alikuwa wa kawida tu ndio maana arsenal hawakumuhitaji ingawa alikuwa free, unadhan ni wajinga waache wa bure wa katoe paun million 30 ?usawa huu, usilete mchezo na kazi za scouting mjomba
 
holding na mari hao ilikuwa swala la muda tu kuondolewa fairst team, na akirud saliba , mmoja wapo atafute pa kwenda, beki gani zinakaba kwa kurudi nyuma , mipira ya juu ha wawezi kuokoa, kama unamfatilia arteta utaona ilikuwa swala la muda tu kuwaondoa hao mizigo... holding, bellerin niliona hadi kichekesho glearish akiwa na mpira wanakaba kwa kurud nyuma, sterling anafunga goli la kichwa mbele ya holding kweli? utafunga hivo kwa tomiyasu au kwa Gab na BEN?

na kuhusu tomiyasu wala hafosiwi , huyo ni RB,RWB,CB, Arteta alihitaji RB mwenye tabia za Cb , ni mrefu, ni anacheza sana aerial duel, mtata 1vs 1, Angalia alichomfanya SON vs totenham, kamfatilie Seria A, bolgna vs juve, alivyokuwa anamalizana na CR7, 1VS1

Angalia bellerin vs son, kina grealish au aerial duel elivyokuwe ovyo....

Arsenal kwenye kuanzisha mashambulizi hutumia shape ya " 𝗮𝘀𝘆𝗺𝗺𝗲𝘁𝗿𝗶𝗰𝗮𝗹 " na hii inamuhitaji mtu mwenye sifa za TOMIYASU,

kwamba ....Tomiyasu ambaye beki wa kulia hapandi juu anabaki nyuma na kutengeneza mabeki watatu ( Tomiyasu, White na Gabriel ) huku upande wa kushoto Tierney/NUNO anapanda juu na kuwa kama winga ...akifanya hivyo Smith Rowe anaingia ndani kutengeneza namba 10 wawili yeye na Odegaard au lacazetti kwenye 4-4-2 hii anyoitumia sasa arteta , wakati Saka anabaki pembeni kabisa kudumisha mapana ya timu . Tierney akisogea juu , Xhaka anaibia pembeni kidogo kuwa kama beki wa kushoto wa dharula ...lakini wakipoteza mpira wanarudi kama kawaida ( 4-2-3-1 ) au 4-4-2..
Mimi nimesema Tomiyasu ni CB anafosiwa kua RB.

Sawa sawa na Chambers.

Na wewe unakubali kwamba ndiyo ni CB ila anaweza kua RB.

Nafikiri hili limeisha.
 
bei ya kepa ilikuwa euro million 18, kilichowafanya chelsea walipe 72 ni buyout clause si kingine, baada ya miez miwili mbele madrid walishajiandaa kumchukua kwa 18 tu

hapa namzungumzia kipa aliyetimu ambayo kila mtu anaona mbovu na imeshuka daraja..

kepa alikuwa timu nzuri compared na rams,

kipa ambaye ameshuka daraja na anaitwa natinal team unadhan masiala ? unadhani ana nini cha ziada?acha utani na kazi za watu
Umeelewaje niliposema timu inayommiliki ndiyo huamua thamani?

So Chelsea walilipa 72M au hawakulipa?

Mendy amenunuliwa kwa 25M au hajanunuliwa?

Nani anaonyesha kiwango?
 
holding na mari hao ilikuwa swala la muda tu kuondolewa fairst team, na akirud saliba , mmoja wapo atafute pa kwenda, beki gani zinakaba kwa kurudi nyuma , mipira ya juu ha wawezi kuokoa, kama unamfatilia arteta utaona ilikuwa swala la muda tu kuwaondoa hao mizigo... holding, bellerin niliona hadi kichekesho glearish akiwa na mpira wanakaba kwa kurud nyuma, sterling anafunga goli la kichwa mbele ya holding kweli? utafunga hivo kwa tomiyasu au kwa Gab na BEN?

na kuhusu tomiyasu wala hafosiwi , huyo ni RB,RWB,CB, Arteta alihitaji RB mwenye tabia za Cb , ni mrefu, ni anacheza sana aerial duel, mtata 1vs 1, Angalia alichomfanya SON vs totenham, kamfatilie Seria A, bolgna vs juve, alivyokuwa anamalizana na CR7, 1VS1

Angalia bellerin vs son, kina grealish au aerial duel elivyokuwe ovyo....

Arsenal kwenye kuanzisha mashambulizi hutumia shape ya " 𝗮𝘀𝘆𝗺𝗺𝗲𝘁𝗿𝗶𝗰𝗮𝗹 " na hii inamuhitaji mtu mwenye sifa za TOMIYASU,

kwamba ....Tomiyasu ambaye beki wa kulia hapandi juu anabaki nyuma na kutengeneza mabeki watatu ( Tomiyasu, White na Gabriel ) huku upande wa kushoto Tierney/NUNO anapanda juu na kuwa kama winga ...akifanya hivyo Smith Rowe anaingia ndani kutengeneza namba 10 wawili yeye na Odegaard au lacazetti kwenye 4-4-2 hii anyoitumia sasa arteta , wakati Saka anabaki pembeni kabisa kudumisha mapana ya timu . Tierney akisogea juu , Xhaka anaibia pembeni kidogo kuwa kama beki wa kushoto wa dharula ...lakini wakipoteza mpira wanarudi kama kawaida ( 4-2-3-1 ) au 4-4-2..
Mkuu siku zote mabeki wanaogopa sana mchezaji anaeshikilia mpira, anapiga chenga alafu ana speed ndo maana mchezaji wa aina hiyo akiwa na mpira utaona beki anakaba kwa kurudi nyuma ikiwa lengo ni kuziba nafasi ili asitoke mbio lkn pia akienda hovyo atapigwa chenga na kuachwa
 
alikuwa wa kawida tu ndio maana arsenal hawakumuhitaji ingawa alikuwa free, unadhan ni wajinga waache wa bure wa katoe paun million 30 ?usawa huu, usilete mchezo na kazi za scouting mjomba
🙄🙄🙄 Nimekwambia nilishaielezea hiyo ishu bob ama ukaicheki huko pages zilizopita au lete deal nyingine.
 
Mimi nimesema Tomiyasu ni CB anafosiwa kua RB.

Sawa sawa na Chambers.

Na wewe unakubali kwamba ndiyo ni CB ila anaweza kua RB.

Nafikiri hili limeisha.
unaposema anafosiwa unatudanganya , hivi unadhani arteta kumtoa loan bellerin halsfu replacement yake awe CB typically,huku ana chamber, cedric

huyo ni RB,CB, wala hafosiwi
 
hao ni average cb jombaa, sijawahi kukosa game ya arsenal , wangekuwa bora wasingekuwa second choice

ilikuwa wazi kabisa gabriel anatfutiwa parter wake , ilikuwa swala la muda tu hutowaona kikosini...imetimia
Arsenal ni miongoni mwa timu zilizofungwa mechi chache msimu uliopita.

Most of the time ilitumika partnership gani?

Two trophies were won ilitumika partnership gani?
 
Umeelewaje niliposema timu inayommiliki ndiyo huamua thamani?

So Chelsea walilipa 72M au hawakulipa?

Mendy amenunuliwa kwa 25M au hajanunuliwa?

Nani anaonyesha kiwango?
sijaona hoja hapo,wala haviendani na ishu ya ramsadale
 
unaposema anafosiwa unatudanganya , hivi unadhani arteta kumtoa loan bellerin halsfu replacement yake awe CB typically,huku ana chamber, cedric

huyo ni RB,CB, wala hafosiwi
Kwani wakati Chambers anawekwa RB watu tupo hapa tunashangaa mbona Cedric na Bellerin wapo wewe ulikua wapi?

Bellerin ana assist tayari Real Betis kabla ya majeruhi Bellerin alikua our most loved full back, amepoteza morali kua Arsenal that's it.

Ni kawaida mchezaji kuhama nafasi. Alaba ni case study rahisi.
 
unashangaa maana huelewi kinachofanyika ,mfumo wa mwalimu ni asymetrical... jifunze utaelewa tomiyasu hafosiwi
 
sijaona hoja hapo,wala haviendani na ishu ya ramsadale
Ni hoja yako ya kwamba kwakua Ramsdale kanunuliwa 30M basi automatically ni mzuri ndiyo nimeleta mifano ya Kepa na Mendy.

Kama hauwezi kua attention na vitu unavyoandika mwenyewe tunafanya nini sasa hapa?
 
Arsenal ni miongoni mwa timu zilizofungwa mechi chache msimu uliopita.

Most of the time ilitumika partnership gani?

Two trophies were won ilitumika partnership gani?
usitudanganye, tunachukua trophies na back 5, na msimu uliopita hao ndio walikuwa uchochoro ... wangekuwa ni cb wazuri ungewaona hata sasa, unataka kutuambia arteta hajielewi... msimu uliopita ilikuwa wazi Gabriel anahitaji parter na sio hao Holding na mari , holding ana moment zake , but poor consinstency
 
😅 😅 Sasa back 5 ni nini? Si lazima kuwe na 3 CBs? Sasa nakuuliza CBs gani walitumika unaniambia nadanganya.

Haya basi tufanye back 5 haina CB ni nani na nani waliunda ukuta wa mabeki?
 
Ni hoja yako ya kwamba kwakua Ramsdale kanunuliwa 30M basi automatically ni mzuri ndiyo nimeleta mifano ya Kepa na Mendy.

Kama hauwezi kua attention na vitu unavyoandika mwenyewe tunafanya nini sasa hapa?
wewe mm nakushauri kubali kulamba matapishi yako kama uliponda huo usajiri ukitaka hao kina onana ,

rams na huo mfano wa kina kepa ni maji na mafuta

unamzungumzia kipa aliyeshuka daraja mara mbili, halafu arteta anampambania , akiwa anauzwa paun million 40, hivi unadhan wachezaji wanaoshuka daraja wanauzwa bei kubwa? ni lazima awe na kitu cha ziada

kumbuka hapo kuna makipa wengine wa bei rahisi... why klabu itoe mill 30 ? usawa huu..lazima ukubali kuheshimu kazi za watu

mbona wengi tu wametubu na amekuwa kipenz cha mashabiki wakati anatambulishwa zilikuwa kejeri tu
 
TOMIYASU ni type ya beki arteta aliyekuwa anamtaka...kwanza awe anabaki nyuma kuunda back 3

anayeruhusiwa kupanda ni LB tu.... bellerin kubaki kama CB alifeli ,kuanzia 1vs 1, aerial duel ,

Tomiyasu majukum yake anayatekeleza vzr sana na bado yuko ktk perfomance nzr kwasababu tomiyasu yy majukumu yake ni ulinzi tu na sio kushambulia so LB wetu nuno au tierney ndio wanatumika kushambulia na tomi anajenga ukuta ( gabriel, white na yy ) kipindi arteta alipo mtumia belarin ilikuwa tunaruhusu magoli mengi tierney na bellarin walikuwa hawapo nyuma na tunabakia na beki wa2 tu
Mkuu nakuelewa unachokisema ni kwenye 4231 ambayo buildup shape inakuwa 3-2-5 ila kwa 433 unahitaji kuwa na full backs wanaoenda High kukupa Width pande zote kama Liverpool. Arteta anasema ni muumini wa 433 ndio maana naona kuna tetesi za ujio wa right back kama Max Aarons.
 
😅 😅 Sasa back 5 ni nini? Si lazima kuwe na 3 CBs? Sasa nakuuliza CBs gani walitumika unaniambia nadanganya.

Haya basi tufanye back 5 haina CB ni nani na nani waliunda ukuta wa mabeki?
Huwez kucheza back 4 ya mari na holding uka achieve chochote, kuwafichia uzaifu wao unahitaji back 3 /5

na malengo ya arteta ni 4-3-3 hivo ilikuwa swala la muda kutowaona na kubaki Wachezaji wa carabao tu, mbona simple tu

hivi zile semi fainal na fainal ucheze na mari holding utabaki salama kweli

HUWEZ KUCHUKUA KOMBE LOLOTE BACK 4 YA HUYO HOLDING NA MARI, bora mwanangu holding ana moment zake kadhaa,

hizo fainal ulizochukua mari na holding akiwa ndani ni zipi... hao ni average player jombaa... au unadhani wanaonewa kusugua benchi

lineup-100.png

0_Arsenal.png
 
Back
Top Bottom