Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwenye gem za kutumia nguvu na kukimbizana sana huwa naona bora kuanza na mmoja kati ya odegaard na Rowe na kwa gem ya leo naona ni bora aanze Rowe, Saka, Auba n Laca. Kwanini napendekeza Saka ni kwa sababu Sana anakuwa na utulivu sana anapokuwa na mpira pia mpira wake anauficha sana kitu ambacho kinafanya beki mmoja kupata shida ya kumkaba na ukizingatia ana mbio hivyo inalazimu beki wawili kuwa wanaenda kumkaba anapokuwa na mpira.
Emile na Odegaard ni wazuri kusprint na kwenda mbele, kutafuta nafasi na kuassisst.

Saka anaporwa sana mipira anakimbilia kwenye wing ambapo hua inakua ngumu kutoboa, kingine ni siyo mzuri kutafuta nafasi akitoa pasi badala yake hua anaganda hapo hapo, na ana pasi chache za kwenda mbele nyingi anawarudishia mabeki.
 
Hofu yangu kwa odegaard gem inapokuwa ngum tukahitajika kurudi nyuma kukaba kisha kukimbia na mpira kwenda mbele sio mzuri hivyo utaona kwenye gem za namna hiyo acheze Saka,Rowe, Laca kwa kuwa wote wanauwezo wa kuchukua mpira tokea nyuma wakakimbia kwenda mbele muda huo Auba anakuwa anasubili mbele kwamba wakianza kumove na yeye anamove kutafuta nafasi ya kupasiwa. Lkn ngoja tuone leo arteta atakuja vp ila mimi nitafurahi akija na aarone, Tomiyasu, Tavares/Tierney, White, Gabrie, partey, Lokonga,Rowe, Saka, Laca na Auba.
 
Arteta kaja km nilivyokuwa nawaza sasa ngoja tusubili kujituma kwa wachezaji ndani ya uwanja kama watajituma basi ushindi upo tena wa goli mbili
 
20211030142921.jpg
 
Back
Top Bottom