Hii ilikuwa game vs Palace, tulikosa intensity kwenye high line press tukawa forced to sit into deep block basi Viera akapata kichwa na his old school tactics, Villa alikuwa anastructure kali kuliko palace ila alipasuka mbaya.Arteta about drawing 4-3-3 ..
"If we play 4-3-3 the way we played in the first 20 minutes, we'll win the games.. But if we start playing the way we played the next 20 minutes, it won't work." "Because again this is a transitional game and we don't have the players to do that when we play in this squad."
Anachiweza kufanya Teta ni kumtoa Sadaka Xhaka na KT aingie kucheza Ndani, ili acheze ile transitional cover ya Left wing back wakati TAVARES na team inapopanda kushambulia, Xhaka last season alioccupy hiyo role na alikuwa anaziba nyuma KT anapopanda kusukuma mashambulizi. Hii inachezwa bila kuathiri majukumua ya Sambi na Partey oale kati. Kifupi tuvheze 3:4:2:1 au 4:3:3/2:1 kwa more defensive gamesMchezaji mwenye stamina kuliko wote ni Nuno Tavares.
Mchezaji mwenye pace kuliko wote ni Tierney.
Tavares ana pace kubwa pia.
KT ana miaka 24 na Tavares ana miaka 21 wanacheza nafasi moja.
Arteta atafute cha kufanya ili hawa wawili wote wawe uwanjani muda mmoja
Nafikir attacking speed na agresivenes ya back line ndivyo vitakavyoamua mchezoMatchday
vs
Leicester
Xhaka ni majeruhi kipindi hichi. Namba yake inachezwa na Lokonga akitransform na kumpa namba KT ya kua kati means Lokonga atabaniwa game time.Anachiweza kufanya Teta ni kumtoa Sadaka Xhaka na KT aingie kucheza Ndani, ili acheze ile transitional cover ya Left wing back wakati TAVARES na team inapopanda kushambulia, Xhaka last season alioccupy hiyo role na alikuwa anaziba nyuma KT anapopanda kusukuma mashambulizi. Hii inachezwa bila kuathiri majukumua ya Sambi na Partey oale kati. Kifupi tuvheze 3:4:2:1 au 4:3:3/2:1 kwa more defensive games
Na morali pia. Arteta alisema baada ya game na Crystal wachezaji walijisikia vibaya kwakua waliamini mechi walitakiwa kushinda.Nafikir attacking speed na agresivenes ya back line ndivyo vitakavyoamua mchezo
Sioni kama ni sahihi unaposema xhaka atolewe sadaka alafu KT ashike nafasi ya hiyo. Km hilo lingekuwa sahihi basi kwa kipindi hiki ambacho xhaka ni majeruhi basi hilo lingeshafanyika. Kwa uchezaji wa KT ni ngumu sana kucheza kiungo labda kwa winga kwa kuwa anaonekana sifa za kuwa kiungo hana.Anachiweza kufanya Teta ni kumtoa Sadaka Xhaka na KT aingie kucheza Ndani, ili acheze ile transitional cover ya Left wing back wakati TAVARES na team inapopanda kushambulia, Xhaka last season alioccupy hiyo role na alikuwa anaziba nyuma KT anapopanda kusukuma mashambulizi. Hii inachezwa bila kuathiri majukumua ya Sambi na Partey oale kati. Kifupi tuvheze 3:4:2:1 au 4:3:3/2:1 kwa more defensive games
Kwa kuongeza ukubwa wa kikosi anatakiwa lkn si kuwa waliopo hawafai. Ukiwa na maddison ndani alafu nje una odegard au odergard ndani nje una maddison nadhani unakuwa unajiamini sana. Yan inatakiwa tuwe km man city unatoa kitu unaweka kituWazee bado Maddison anatakiwa?
Mkuu km wachezaji watajituma km walivyocheza gem ya Aston villa gem ya leo ushindi ni mapema tu lkn walizubaa km walivyocheza na palace hii gem hatutoki. Na hapo ni vzr mbele aterta akianza na SAKA, AUBA NA LACAZETTEKiukweli game ya leo ni ngumu saana kwa upande wetu, hasa na muda unaochezwa ndio kabisa inaninyima amani, nahisi ushindi wetu sare.. tuombe mungu awe upande wetu.
COYG.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Msimu huu naona Maddison hajawa katika fomu badoKwa kuongeza ukubwa wa kikosi anatakiwa lkn si kuwa waliopo hawafai. Ukiwa na maddison ndani alafu nje una odegard au odergard ndani nje una maddison nadhani unakuwa unajiamini sana. Yan inatakiwa tuwe km man city unatoa kitu unaweka kitu
Auba, Laca, Emile, OdegaardMkuu km wachezaji watajituma km walivyocheza gem ya Aston villa gem ya leo ushindi ni mapema tu lkn walizubaa km walivyocheza na palace hii gem hatutoki. Na hapo ni vzr mbele aterta akianza na SAKA, AUBA NA LACAZETTE
Kwenye gem za kutumia nguvu na kukimbizana sana huwa naona bora kuanza na mmoja kati ya odegaard na Rowe na kwa gem ya leo naona ni bora aanze Rowe, Saka, Auba n Laca. Kwanini napendekeza Saka ni kwa sababu Sana anakuwa na utulivu sana anapokuwa na mpira pia mpira wake anauficha sana kitu ambacho kinafanya beki mmoja kupata shida ya kumkaba na ukizingatia ana mbio hivyo inalazimu beki wawili kuwa wanaenda kumkaba anapokuwa na mpira.Auba, Laca, Emile, Odegaard