Kuna Mavropanos pia.Mkuu, hapa tunatofautiana kidogo ninavyoona deadwoods hawawezi kulast longer kwenye hii Arsenal ya Arteta, naona kama kocha anaAdapt kinachofanyika kwa Pep Guardiolla.
Kuna taarifa ya kusajiliwa Tapsoba(CB) kumreplace Saliba kama atagoma kuExtend.
Pia kusajiliwa Natural full back kama Max Aarons, Tomiyasu atabaki kama CB. Hii inaonesha Arsenal msimu ujao itakuwa na four competitive CBs White,Gabriel,Tomiyasu,Saliba/Tapsoba. kama Ake, Laporte,Dias,Stones.
Sasa hawa wengine safari yao imeishia hapo, mfano tukimpata CM kama Aouar basi El neny tunampa mkono wa kwa kheri.
Hii timu inajaza CB kibao wengine itabidi waconvertiwe wawe viungo au fullbacks.
