Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,499
- 6,459
Daaah hii ndo timu yangu ambayo huwa inaniuma sana kwa matokeo yakeTumpe muda
Daaah hii ndo timu yangu ambayo huwa inaniuma sana kwa matokeo yakeTumpe muda
Kweli na ndiyo level za Arsenal sasa hivi.Mid table team mpo? kwa sasa kuifunga westham,everton ,cryata na astonvilla ni changoto kweli kweli
Hamna timu hapoAcha bwana[emoji3]
Kosi la dunia.View attachment 1981224
kosi la dunia limeshakula 2 huko mpaka sasaSema kosi la Ulimwengu wote, Dunia ni ndogo sana.
Tunatisha sanaa, sasa kuanzia leo ni mwendo wa vitasa tuu, kila anayekatiza mbele ni vipigo tuu, jiandaeni kisaikolojia timu isharudi kwenye kasi yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tazama hiki kikosi mkuu, tazama kwa makini, alafu nje kuna Pogba, Sancho, Cavani, Matic, Martial, Lingardinho hii si kufuru hii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kupata kichekesho kingine kama hiki tubonyeze ngapi kiongozi?
Aisee perfect midtable team 8 points kutoka anayeongoza ligi na 8 points kutoka relegation zone[emoji23]Nawakumbusha tuu timu yenu hipo nafasi ya 12View attachment 1979495
Ngoja kikutane na liver ya mwamedi [emoji23]Ila wakuu hebu tuwe wakweli, hivi kwa dunia ya sasa unaweza kufananisha na club gn hii timu, angalia front line inavyotisha, alafu bado wakawepo kina Pogba, Sancho, Cavani, Matic c hatari hii, sema mbinu tu za kocha ila kikosi tunacho wakuu au nyie mnasemaje, hebu tazama hapa, hii c kufuru hii wakuu[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1981348
Win or draw on SundayNgoja kikutane na liver ya mwamedi [emoji23]