Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Sioni km n tuta la haki
He was tripped and he didnt Get the ball
Sioni km n tuta la haki
Grealish alivyokuepo zaidi ya saba za liva sidhani kama kuna kingine wamefanya.Mpira wa Villa umeenda wapi? Kaondoka nao Grealish? They have been struggling, commiting fouls risking redcard
Tunakusubiria Jpili na hivyo vitasa, mimi ninachojua MWANETU OLE hato tuangusha majirani ,halafu baada ya hii mechi mtupostie msimamo wa EPL kama mnavyo fanyaga.Tunatisha sanaa, sasa kuanzia leo ni mwendo wa vitasa tuu, kila anayekatiza mbele ni vipigo tuu, jiandaeni kisaikolojia timu isharudi kwenye kasi yake![]()
Mkuu si Afcon imehamia June na julyJanuary Auba na Partey watakuwa AFCON, CAF wapuuzi sana yaani wameshindwa kusongeza mpaka mwezi wa sita.
AFCON tarehe 9 January 2022.Mkuu si Afcon imehamia June na july
Pepe hakuna mchezaji mle mkuuArteta is an idiot, unamuachaje Pepe nje kwenye mechi kama hii?
Process ulishakwama, kama tuna nia ya kuendelea ufuke muda mwenye team aamue kuwa serious na atupie pesa ya kutosha na tupeane mkono wa kwaheri na Arteta, sio mwalimu wa kiwango tunachokihitaji kuweza kuchallanhe pe juu kqenye makombeHongera gunners, vijana wanajitahidi. Now pattern ya uchezaji inaonekana.
COYG, trust the process.
Pesa ikitupwa kama mashabiki tunavyotaka hata Arteta ataonekana anatosha.Process ulishakwama, kama tuna nia ya kuendelea ufuke muda mwenye team aamue kuwa serious na atupie pesa ya kutosha na tupeane mkono wa kwaheri na Arteta, sio mwalimu wa kiwango tunachokihitaji kuweza kuchallanhe pe juu kqenye makombe