Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

No way bro kuna muda nlisemaga hili jukwaa litabakia na watu 2 pekee wa kuitetea Arsenal and now Castr keshaleft zake and not yet utaona tu bro unaweza bakia peke yako
Mimi sitakiwi kua kipimo cha kuhalalisha wengine kuipenda au kutoipenda Arsenal.

Nimeanza kuishabikia Arsenal nipo primary. Game na Liva, Arsenal tunaanza kuscore ila Liva anatupiga 2 kwa 1 goli la pili anashinda Ryan Babel mimi nilikua naishabikia Arsenal.

Msimu wa invincibles ulinikuta naishabikia Arsenal tayari na bado nilikua mdogo.

UCL dhidi ya Barca Messi bado young anaingia kutokea sub mimi naishabikia Arsenal.

Tunapangiwa either Bayern au Barca UCL mimi naishabikia Arsenal kitambo.

Overtime nimekua nafuatilia mpira kwa ujumla wake. Inanisaidia kua na bigger picture na kutokua na mihemko kama baadhi ya mashabiki.

That being said ni kwamba hamna namna nitaditch uzi wa Arsenal kwaajili ya matokeo.
 
Leo wakuu nahisi tunarudi kwenye 4231 shape, hapo Elneny anaingia kwenye pivot na Partey for defensive stability,
Arteta anasema 433 inakataa sababu ESR na Odegaard wapo kwenye learning curve, wametumia Career zao kucheza kama 10s na Sio 8s, Partey analazimika kucheza as 6 naye yupo kwenye learning curve.

Arteta: “If we play 4-3-3 the way we played the first 20 minutes, we win the games...But if we start to play the way we played the following 20 minutes, it doesn’t work, because again, that is a transition game and we don’t have the players to do that when we play in that formation.”

Via https://t.co/cEAo5wkUKS
 
Back
Top Bottom