Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
Sasa ndg zangu top 4 arsenal atamtoa nani hapo ,sahauni top four lengo la arsenal ni top 6 ,arsenal bila hata ya kupepesa macho kumaliza juu ya leiceister ,westham na villa ni kubeba gunia la mavi ,msema kweli mpz wa MunguMsimu huu tunataka Top 4 tu na sio ubingwa