Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwana anatupia tu huko Ghana, The best midfield in England, only Soumare & Ndombele can match his game
IMG_20211012_220131_714.JPG
 
Duh, timu ishakufanya uehuke. Sasa povu lote hilo la nn. Swali ni, mna muda gani mmechukua epl!?
Hivi ukitukanwa utachukia?.Arsenal ilipokuwa ikichukua makombe timu yako ilikuwa wapi?.

Idadi ya makombe ya EPL kwa Arsenal na FA unaijua?.
Panga list ya timu ziluzochukua EPL mara nyingi hadi ya mwisho uone Arsenal wanashika namba gani.

We are the gunners forever.
 
Sasa Pale TOP 4 utamtoa nani ndugu yangu?

Chelsea - Title contender
Liverpool - Title contender
Man city - Title contender
Man utd - Top 4 ni must kwao ijapokuwa wanacheza kimasihara

Nadhani mjaribu kupambania EUROPA

Leicester city
Everton
Westham
Arsenal
Aston villa
Spurs
Ndg ogopa matapeli leceister ,westham,everton hawawezi kuiacha team mbovu ya arsenal iwe juu yao ,atapambana na villa &spurs nafasi ya saba ,na nikiwaza vizuri zaidi nafasi ya saba Villa anaweza kuatamia .
 
Dogo anaitwa Nao lang anacheza Club brugge a dutch player LW; tetesi zinaonesha Arsenal wanamtaka January analeta Competition and rotation kwa Gabriel Martinelli, hii inaonesha safari ya Nicolas pepe imeiva.

Mikel Arteta sets this team up himself. #Coyg

arsenal.fans.algeia_1634324576916937.jpg
 
Mashabiki wa Man U mnao tupigia kelele humu,mkae mkijua baada ya mechi tatu tutakuwa hatu chekani.
 
Mbona tunapenda sana wachezaj underground hawatatufkish popte
Mkuu, Underground kwa maana ipi, kiumri au mchezaji sio proven?

Kama unaongelea proven player basi ujue Kwenye mpira hakuna kitu kama icho siku hizi, Bukayo Saka na Raheem Sterling(proven) kwa sasa ungemchukua yupi?
Kwenye football kinacho-matter ni Character, quality na age profile.
 
Unazngua. Ivi mchezaj kam Lokonga unategemea upate nn kutoka kwake. Maan me naon kaja kukuza kiwango chake arsenal. Kulkuwa na uwezkan wa kupata Sign ya mtu kam Madson Bissouma Camavinga
 
Unazngua. Ivi mchezaj kam Lokonga unategemea upate nn kutoka kwake. Maan me naon kaja kukuza kiwango chake arsenal. Kulkuwa na uwezkan wa kupata Sign ya mtu kam Madson Bissouma Camavinga
Haijakaa sawa kuwadisrespect hawa wachezaji wadogo mfano Sambi Lokonga, kwa maana in the coming days utakuwa na double Pivot ya Patino na Lokonga kama ilivyo kwa Xhaka na Partey.

Bissouma ni similar profile na Partey huwezi kuwa nao wote, Arsenal tulihitaji DLP kama Locatelli ingetokea Xhaka ameuzwa. Xhaka as a DLP... his role is to protect defense in the first line of press during build up play, Hausajili mchezaji sababu ni mzuri, unasajili mchezaji kwa mahitaji uliyonayo mkuu.
 
Lakini sio kwa mtu kama Lokonga and up to now hajaonyesha impact yoyote Arsenal and that's why kwa miaka ya karibuni Arsenal haisogei mbele inashiriki Premier league kama Newcastle wanavyoshiriki
 
Lakini sio kwa mtu kama Lokonga and up to now hajaonyesha impact yoyote Arsenal and that's why kwa miaka ya karibuni Arsenal haisogei mbele inashiriki Premier league kama Newcastle wanavyoshiriki
Lokonga kaja kujifunza from the best na kumsucceed Partey baadae, midfield ya Arsenal ni pivot ya Partey & Xhaka, una swali jingine?
 
PREDICTED 11 TODAY: Ramsdale; Tomiyasu, White, Gabriel, Tierney; Partey; Smith Rowe, Odegaard; Saka, Aubameyang, Pepe.
4-2-3-1 option ni pivot ya Elneny na partey, Elneny is likely to start ili tumzime yule mtoto wanamuita Gallagher
 
Back
Top Bottom