[emoji993] Tunaenda mapumziko ya Kimataifa kwa wiki 2, Na alama 10 kati ya 12.
[emoji993] Performance ya game dhidi ya Brighton ilikuwa mbaya, Baada ya Mechi nzuri dhidi ya Spurs.
[emoji993] Tofauti ya point 4 kuingia Big 4 na Point 6 kuwa Vinara wa League.
[emoji993] Ratiba 4 zifuatazo ni ngumu na Crystal palace imeanza kuonesha Ubora wake Aston villa ni wazuri pia , Leicester na Watfod sio wakuwabeza Pia.
[emoji993] Faida ni kuwa tunacheza game 3 nyumbani na moja Ugenini.
[emoji993] Team ina majeruhi mmoja tu, Muhimu ni Wachezaji wengine waludi wazima