Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matteo jana kahusika kwenye magoli manne Marseille, Good player with bad character

Arteta aliwahi kusema kuhusu bad attitude

"For me, it’s the number one question when we bring someone to the club, What is he like? How is he going to react in difficult moments

“Medium and long-term, it’s crucial. A team is formed by individuals who have the same purpose and to have the same purpose you have to trust each other. You have to be connected with each other.”
 
It will be a tough game, Viera has changed the way Palace play, hawategemei Counter attack za Hodgson, wanapanga mashambulizi, kwa hiyo kiungo chetu Kina kazi kubwa ya kutibua mipango yao
 
Screenshot_20211018-210325_Goal News.jpg
 
Ka
anamuanzisha Odegaard badala ya Elneny. Elneny anaweza kuingia kama sub. Lokonga hayupo leo
Kwa squad hii ilikuwa inakataa ESR kuwa kwenye pivot, nilijiuliza inawezekanaje ESR,Odegaard na Partey wakafit kwenye 4-2-3-1, naona finally Arteta kaamua kwenda na 4-3-3 ambayo wote wanafit kwenye triangle mid.
 
It will be a tough game, Viera has changed the way Palace play, hawategemei Counter attack za Hodgson, wanapanga mashambulizi, kwa hiyo kiungo chetu Kina kazi kubwa ya kutibua mipango yao
Palace wazuri kwa kusustain pressure, kitu ambacho angeanza na Elneny na Partey angewaOverload kwenye midfield kipindi tunaAdapt defensive structure naingeleta urahisi kuwazuia ila Arteta anajua zaidi, ngoja tuone.
 
Mzee baba, Mchezaji wako Matteo anatupa World class performance.. najiuliza atarudishwa au ndio atauzwa jumla? Saliba yeye kashaProve ni next level hana muda wa kujaribishwa😁😁
Bro, the same way tulivyojuta kumpoteza Serge nabry ndivyo tutakavyojuta kumpoteza Guendouzi for the next 10 years.

Mimi najua mchezaji mzuri. Mark my word, Sambi Lukonga is next level bro
 
Back
Top Bottom