Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 6,978
- 10,368
Arsenal tupew nchi 2025
Kikosi hakijatoka bado mkuu.Naona kikosi cha ushindi kimerudiwa isipokuwa xhaka kwahiyo matarajio ni ushindi
Kikosi hakijatoka bado mkuu.
Kama unacho hebu kiweke hapa tukiona. Kikosi kitatoka 25 minutes from now
N kwel sambi haipaswi aanze mbele ya elnenyKiungo cha Arsenal kimekatika, after 10 minutes. Lokonga amepotea. This pathetic,Arsenal struggling against Brighton?
Will Jr upo? ARSENAL hawa watoto wapo vizuri sana sana tatizo kubwa ni kwa Combination ya Lokonga na partey hailipi na haitalipa na miezi 3 itakuwa ni mirefu sanaKikosi chetu bado kuwashinda CHELSEA MANCHESTER CITY NA LIVERPOOL, I repeat bado na TOP 3 hao hawatatoka hapo na ARSENAL hawezi kushindana na hao watu 3
Then kuna MANCHESTER UNITED may be may be huyu inawezekana tukashindana nae ila ni misimu mingapi sasa hii timu tumemaliza juu yake?sio kuwa akili yangu naijua mwenyewe no,I give you the Naked fuckin truth TOP 4 sio kama unaenda kukojoa mkojo wa asubuhi kirahisi rahisi may be ungesema TOP 6 ningeweza kukubaliana na wewe
Ok fine if you are talking serious unahisi katika hao nliowataja Arsenal anaweza akamaliza juu ya nani then tuone statement yako?
Yaah sure, tushammiss Xhaka tayari, kiukweli replacement ya Xhaka ni locatelli sio hawa wengine, Xhaka is the best DLP in EPL.Will Jr upo? ARSENAL hawa watoto wapo vizuri sana sana tatizo kubwa ni kwa Combination ya Lokonga na partey hailipi na haitalipa na miezi 3 itakuwa ni mirefu sana
Mdogo mdogo tunarebuild, next season tutakuwa na new forward line sio hii ya Nicolas Pepe na lacca.Arteta kazi anayo kweli kweli .... asenali inawachezaji wa kawaida kweli kweli.....
Ajiandae kumtumia mwamwedi tu.....
Fact combination ya Partey na Lokonga mhhhh let's wait and seeYaah sure, tushammiss Xhaka tayari, kiukweli replacement ya Xhaka ni locatelli sio hawa wengine, Xhaka is the best DLP in EPL.
haya ni matusi kwa hawa ndugu zetu....Unaambiwa mara ya mwisho Arsenal kucheza UEFA Champions League, Christian Pulisic alikuwa analingana hivi
View attachment 1960758