Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,521
Mbona unaumizwa mkuu, Uhalisia gani wakati timu imeshinda four games in a row?Kanzu mpya sheikh wa zaman
Nasubiri kushangazwa chief na Arsenal na kuhusu kufika mbali kwa Arsenal unazungumzia kuchukua ubingwa au kuingia top four? Hebu fafanua hili
Kwenye ligi namna ilivyo marathon ndefu unategemea muujiza wa kutushangaza na wala sio quality ya wachezaji na mbinu za kocha? Kweli ushabiki umekufanya uwe kipofu hadi uhalisia hauuoni amka ulipolala