Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The team have played well today and seems the morale is up.
We have seen ups and down of this team for the moment. But with this way of playing if continues, then the future is so bright.

Wapi Numbisa na short videos zako za magoli? 🤗

We are gunners forever 👏👏💪💪💪
 
Sijajua nani kawa MOM ila SAKA kacheza mpira mkubwa sana. Alikuwa akishika mpira unaona anakuwa na utulivu wa hali ya juu sana
 
Arteta kafurahi sana leo
IMG_0413.jpg
 
Wanawake wa Arsenal muda huu wamewakalia wenzao wa man city hadi sasa wapo 4 bila.
Man u madume wala kichapo na wa kike nao wameliwa 6 kweli leo ugumu ugumu tu.
 
Jana Jiran Brentford kanifurahisha kumpunguza speed livapunga na leo majiran zangu Arsenane naona Arteta kaanza kuwaongopea kwa kushinda msahau wimbo wa Arteta out so sad for you maana kwa uongo wa leo mtaendelea kumuamin mpaka mwisho wa msimu kama kawaida nafas ya 9 au ya 8 I feel bad for you sijui mtaamka lini kwenye huu utapeli wa Arteta 🤔

don't forget that London is Blue
 
Jana Jiran Brentford kanifurahisha kumpunguza speed livapunga na leo majiran zangu Arsenane naona Arteta kaanza kuwaongopea kwa kushinda msahau wimbo wa Arteta out so sad for you maana kwa uongo wa leo mtaendelea kumuamin mpaka mwisho wa msimu kama kawaida nafas ya 9 au ya 8 I feel bad for you sijui mtaamka lini kwenye huu utapeli wa Arteta

don't forget that London is Blue
Shiiii, aliyelala usimwamshe
 
Unaota au umeamka.Maisha hubadilika kivyovyote usikariri kwa kikosi hicho hicho arsenal yaweza kufika mbali mkashangaa na dharau zenu mbona nyie mmepigwa tena nyumbani.
 
Hujui unachokisema, kocha anahitaji wachezaji wazuri ili Arsenal tuenjoy soka, kwa uwepo wa Cedric/Bellerin na Leno golini usingeona such kind of football, kwenye football mchezaji mmoja anaua system nzima ya timu.
 
Unaota au umeamka.Maisha hubadilika kivyovyote usikariri kwa kikosi hicho hicho arsenal yaweza kufika mbali mkashangaa na dharau zenu mbona nyie mmepigwa tena nyumbani.
Kanzu mpya sheikh wa zaman

Nasubiri kushangazwa chief na Arsenal na kuhusu kufika mbali kwa Arsenal unazungumzia kuchukua ubingwa au kuingia top four? Hebu fafanua hili

Kwenye ligi namna ilivyo marathon ndefu unategemea muujiza wa kutushangaza na wala sio quality ya wachezaji na mbinu za kocha? Kweli ushabiki umekufanya uwe kipofu hadi uhalisia hauuoni amka ulipolala
 
Back
Top Bottom