Kheri007
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 293
- 481
Ingia Twitter kuna streams kibaohata sioni game bro. sijapata stream, naangalia tu highlights za arsenalist.com
Ingia Twitter kuna streams kibaohata sioni game bro. sijapata stream, naangalia tu highlights za arsenalist.com
Yupo kwenye maandalizi ya kununua hii timuNamuona tajiri wa sportify uwanjani
Serious?Yupo kwenye maandalizi ya kununua hii timu
Ramsdale ni MTU na nusuIla wanangu huyu Aaron Ramsdale ni bomba la kipa.
Kumbe ni mwana Arsenal umepatia sana, unakwama tu kule kwa Utopolo.Keep the momentum Gunners!!! So proud of the team today! Excellent performances!!! Ramsdale has been so exceptional as well! Saka, The Smith, ahhhh just wonderful guys!! Thank you!! I will sleep well️
Jamaa alisha make first bid ya kuinunua Arsenal ila maboss wakakataa , na sasa anajiandaa kutuma second bidSerious?
Sijakusikia vizuri, hebu rudiaSpurs hawezi kukubali kupigwa mara tatu mfululizo, lazima apite na mtu wake nae n arsenyanye
Viti vya plastiki au ?Leo mnakalia
Acha kujipa matumaini na mechi 1 furahia tu Arsenal amepata ushindi that's itUnatamani kurudi Arsenal? Wala usirudi baki psg