Njooni njooni njooni wadau.
Performance ya nguvu imemrudisha BAK jukwaani
Oya muacheni mdogo wangu bhanaaaUnatamani kurudi Arsenal? Wala usirudi baki psg
I wish hawa jamaa tuwapige 5.Bado timu yetu inasua sua lakini hii performance ya 45 minutes za kwanza is excellent. Hopefully 🙏🏽 the lads will maintain the same performance in the 2nd period.
Mimi pia bro, ili wewe upate hizo hela kutoka kwa Depal
Sijasema ni hela bro.Mimi pia bro, ili wewe upate hizo hela kutoka kwa Depal
Nilihisi siyo pesa ila naoogopoa kufikiri itakuwa nini tofauti na hela 😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣 hamtoboi, ikiwa kweli unatoa nini?
Hawajawahi kushinda Emirates since 2010 nadhaniSita itapendeza wametunyanyasa mara nyingi hawa.
Wacha kufikiria fikiria bro utakuja kufikiria vitu vya ajabu ajabu 😄😄😄😄Nilihisi siyo pesa ila naoogopoa kufikiri itakuwa nini tofauti na hela 😀😀
Nakupigia baada ya dakika 30 hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣 hamtoboi, ikiwa kweli unatoa nini?
Nifundishe kutokuwa mbahili basi.
Nina mafua 🥵 kasauti katatokea puani 🤣 ila piga hivyo hivyo.Nakupigia baada ya dakika 30 hahahaha
hata sioni game bro. sijapata stream, naangalia tu highlights za arsenalist.comWacha kufikiria fikiria bro utakuja kufikiria vitu vya ajabu ajabu 😄😄😄😄
Wewe cheki soka lililotulia hapa leo