Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Next season tutakuwa na Saliba tunaongeza CM, Winger, CF. hapo vipi wakuu kenye Rebuild hiyo.
Kuna kipindi nilisema tuna CB wengi sana haina haja ya kuleta CB wengine.

Halafu sasa CB wetu wakiwa huko kwenye mikopo ni starters na wanaperform vizuri tu. Saliba ndiyo anaperform kama vile lengo lake kumthibitishia Arteta jinsi alivyo miyeyusho.

Back pass ya White jana ni mambo ya David Luiz, tulianza kuyasahau hayo lakini naona kama vile White anaenda kua Maguire. Inakua ngumu kuendana na amount aliyonunuliwa.

Magalhaed amefanya poa na Rob. Mari kafanya poa na Rob. Kwanini anaonyesha dalili zote za kumdrop Rob? Uzuri mpira unachezwa nje kila mtu anaona.

Hii picha ya chini na maelezo yake nataka nikutumie ujisikie raha.

Screenshot_2021-09-20-11-07-22-81.jpg
 
View attachment 1946118
Kwanza ukimsoma mwandishi wa post anataka Kuprove Arteta yupo sahihi kwa aina ya wachezaji anaonunua. Kwenye picha Ramsdale,partey,white wote kawasajili...

Lakini Saliba akirudi inaturuhusu kucheza na back three, White,Saliba,Gabriel kwenye Wing backs Tomi na Tierney.
 
Kesho tutakua uwanjani na AFC Wimbledon.

Kisha Jpili itakua ni shughuli na mtani spurs.
 
Lacazette aanze pale mbele Kwenye NLD
Huyu ni inabidi akae namba ya Auba kwa heshima ya kua kapten na mla mshahara mkubwa awekwe atokee pembeni la sivyo ilibidi ale benchi.

Leo nimeangalia mechi na Burnley aisee hii timu bado sana. Hakuna fluid movement ya timu, wachezaji wawili watakua wanakimbia wanne wamesimama. Forward hawana finishing nzuri.

Runs hazifanywi na zikifanywa basi mwenye mpira ataupeleka kwingine kabisa.

Nimependa tu Ramsdale na Gabriel walivyomkingia kifua Tierney.
 
🤪 Chelsea's defenders have scored as many Premier League goals this season (5) as Arsenal and Tottenham have managed as teams combined
 
Back
Top Bottom