Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kupiga ma relegetor wenzenu mshaanza kujipa iman na epl mshasahau kua mnashuka daraja
 
Jaribu kuwa na akiba ya maneno
Akiba ya maneno?unataka kuqualify kwenda european then unafungwa 5 na Manchester City unafungwa 2 na Chelsea tena home?then unascore 1 goal each kwa timu ambazo position zao mpaka sasa ni 19 na 20?we said earlier Arteta hataipeleka Arsenal popote pale, that's the fuckin truth kuwa Arsenal will not participate in any European competition next season under the same coach ,management and players
 
computerarsenal amia Chelsea upate raha achana na PSG ambayo hata mashabiki haina
 
Akiba ya maneno?unataka kuqualify kwenda european then unafungwa 5 na Manchester City unafungwa 2 na Chelsea tena home?then unascore 1 goal each kwa timu ambazo position zao mpaka sasa ni 19 na 20?we said earlier Arteta hataipeleka Arsenal popote pale, that's the fuckin truth kuwa Arsenal will not participate in any European competition next season under the same coach ,management and players
Una hoja za kitoto.

City amequalify msimu huu msimu uliopita kafungwa tano na nani?

United kafuzu msimu huu, msimu uliopita kafungwa sita na nani?

Liva alifungwa saba na nani?

Chelsea kapigwa tano na nani?

Bro usifanye maisha yako kuwa magumu, unaweza ukajinyonga bure
 
Unapoteza nguvu kubishana na mshamba huyo.
 
Wazee Aaron ramsdale yupo safi, kapata cleansheet tatu kwenye game tatu.
IMG_20210919_152914.jpg
IMG_20210919_152907.jpg
IMG_20210918_192949.jpg
 
Una hoja za kitoto.

City amequalify msimu huu msimu uliopita kafungwa tano na nani?

United kafuzu msimu huu, msimu uliopita kafungwa sita na nani?

Liva alifungwa saba na nani?

Chelsea kapigwa tano na nani?

Bro usifanye maisha yako kuwa magumu, unaweza ukajinyonga bure
Arsenal unaifananisha na Liverpool Manchester United Manchester City Liverpool?
 
Back
Top Bottom