Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akiba ya maneno?unataka kuqualify kwenda european then unafungwa 5 na Manchester City unafungwa 2 na Chelsea tena home?then unascore 1 goal each kwa timu ambazo position zao mpaka sasa ni 19 na 20?we said earlier Arteta hataipeleka Arsenal popote pale, that's the fuckin truth kuwa Arsenal will not participate in any European competition next season under the same coach ,management and players
Tuko na arteta ndio manager wetu ,alipandishwa cheo huyu kutoka head coach kama TT na kuwa manager ,kiufupi tuko nyuma yake ,hujuma zingine atukubali
 
Unaendeleaje?
Don't compare Arsenal with those giants niliowataja hao muda wote wapo Top kwenye EPL na kubeba makombe, Arsenal ambayo miaka 2 haijamaliza above 8 position unawezaje kujilinganisha nao?

Arsenal ishajifia kwa sasa ipo ipo tu haina mbele wala nyuma imebaki kuwa timu kubwa sababu ya historia na bado ina fans wengi duniani sababu wakati inafanya maajabu enzi hizo kwa sasa ni Arsenal ni

Chelsea wanafurahia results coz Management haitaki ujinga leo Tuchel anafanya maajabu makubwa wakati Chelsea na Arsenal zilikuwa zinapata matokeo tatanishi tangia January 2021 hadi sasa eti Chelsea ana champions league na super cup ndani ya miezi 8 huku Arsenal ina Arteta ambaye ni trash
 
Akiba ya maneno?unataka kuqualify kwenda european then unafungwa 5 na Manchester City unafungwa 2 na Chelsea tena home?then unascore 1 goal each kwa timu ambazo position zao mpaka sasa ni 19 na 20?we said earlier Arteta hataipeleka Arsenal popote pale, that's the fuckin truth kuwa Arsenal will not participate in any European competition next season under the same coach ,management and players
Hii pia inahitaji uweke akiba ya maneno, kwa kifupi ni kwamba chochote unachokisema dhidi ya Arsenal weka akiba ya maneno, kama wewe ni Arsenal unapolalamika sana na kingereza chako cha interview haisaidii kitu, na kama wewe si shabiki wa Arsenal na hicho kingereza chako ungetafuta la kufanya kama kuanzisha pre form One, maana useme au usiseme haisaidii bali ungebaki mtazamaji.
 
Stupid nonsense
 
Pochettino ajitathmini but I am sure Management hawatamchelewesha soon atajikuta kwao Argentina sio kama Management ya Arsenal ilivyokaa kikikekike
😅 Sa ilikuaje mkamuacha Tuchel ambaye ana rekodi ya makombe mkampa timu kocha ambaye hajawahi kushinda kombe lolote maishani?
 
Sa ilikuaje mkamuacha Tuchel ambaye ana rekodi ya makombe mkampa timu kocha ambaye hajawahi kushinda kombe lolote maishani?
PSG 2 -1 Lyon Full Time

PSG kumfukuza kocha ni kitu cha kawaida mambo ya kike kike hakuna huku mzazi viongozi wa Arsenal wanaangalia faida sio results that's why die hard fans mmebakia kutukana watu wanaosema ukweli hata kama ni blood fans wa Arsenal mnamuona Mamluki huku timu inazama Baharini Goodnyt sasa napata usingizi maridadi
 
Ukubwa wa kikosi na idadi ya magoli hata haviendani
 
Next season tutakuwa na Saliba tunaongeza CM, Winger, CF. hapo vipi wakuu kenye Rebuild hiyo.
 
Back
Top Bottom