Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo Arsenal inacheza 4 3 3.

Game iliyopita na hii Arteta amekomaa kujaribu formation.

Hii ya leo inahitaji speedster wingers na mid wenye skills za kupasi.

So nahisi tunaweza change formation mid game.
 
IMG_20210923_000002.jpg
 
Kwa misimu kama miwili mitatu nyuma city amekua akigewa ratiba kama tuliyoanza nayo sisi huku Carabao hii ilisababisha iwe rahisi kwake kuruka raundi zijazo.

Ninachomaanisha ni kwamba ushindi wetu dhidi ya AFC tukiuweka kwenye mzani dhidi ya ushindi wa Westham VS united. Na wa chelsea aliyeenda next round kwa penati dhidi ya villa hawa wameingia kwa kutumia nguvu kutuzidi.

Baada ya goli la penati Arsenal haikupiga shuti lolote tena for almost 20 minutes. Ni maajabau ukizingatia ni timu kubwa mbele ya Wimbledon, kisha hakukua na real chances.

Kuna vitu unaviona karibia kila wiki lakini havirekebishwi, hii inasababisha kuotea matokeo kwa kuangalia defense ya timu mnayokutana nayo na forwards zao.

Mfano kwa game dhidi ya spurs naona wenzetu wana ari na morali kutuzidi. Obviously tutastruggle. Na hii ni derby ambayo form hua haiwekwi kwenye equation as wachezaji hujitoa mno.

Qn comes. Arsenal ina wachezaji wa kujitoa?
 
Back
Top Bottom