Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mshambuliaji wa Arsenal na England Bukayo Saka amefuatiliwa na klabu tofauti , lakini The Gunners wanasema kwamba mchezaji huyo hashikiki..
 
Arsenal haijafutilia mbali matumaini ya kumsajili kiungo wa kati wa Lyon na Ufaransa Houssem Aouar na itamlenga mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 msimu ujao , ijapokuwa The Gunners watataabika kumleta London hadi pale watakapofuzu kwa kombe la klabu bingwa Ulaya.
 
Mchezaji wa zamani wa Arsenal Jack Wilshere hataki makubaliano ya kulipwa kwa mechi atakazoshiriki katika uwanja wa Emirates baada ya mkufunzi Mikel Arteta kumruhusu kushiriki mazoezi katika uwanja wa timu hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ameichezea England mara 34 lakini amekosa klabu tangu alipoondoka Bournemouth mapema mwaka huu..
 
Alipwe kwani kasajiliwa?
 
Sijaelewa ulicho andika

Back
Top Bottom