Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachezaji wa Arsenal wana makosa yasiyovumilika. Huwezi amini kuna mchezaji analipwa pound 250k kwa wiki. We still have a long way to go. Wachezaji ni takataka kuliko zile za chooni
 
Kocha miyeyusho.

Unamtoaje Emile ambaye ni shooter mzuri unamuacha Saka?

Emile, Albert na Odegaarda wangecheza pamoja.

Wachezaji wana worse physical conditioning hawawezi kua consistent.

Cha kujipa moyo ni kwamba mpaka dk ya 90 City walikua wamepiga mashuti 15 na yote off target.
 
Wakomae kama Brugge alichokufanyia tu. Zaidi ya majina hiyo timu ni nyeupe, timu inatoka ligi haipo tano bora!!?
poor Arsenal my former team ,can Arsenal fan celebrate kwa ushindi huu?never ever and sorry for Leno because Ramsdale has got two clean sheets in a row
 
Kiukweli Ramsdale yuko vizuri kuliko hao makipa wa PSG.

Mara ya mwisho PSG kupata clean sheet lini? Hesabu mpaka CL.
 
Kocha miyeyusho.

Unamtoaje Emile ambaye ni shooter mzuri unamuacha Saka?

Emile, Albert na Odegaarda wangecheza pamoja.

Wachezaji wana worse physical conditioning hawawezi kua consistent.

Cha kujipa moyo ni kwamba mpaka dk ya 90 City walikua wamepiga mashuti 15 na yote off target.

Castr, matatizo ninayo yaona,ni ya kocha. Siamini kama Arteta anaweza kuifanya Arsenal iwe competitive team. Nasubiri kusikia tathimini ya Ian Wright na Owen then I will comeback
 
Hizi dark moments haushangilii idadi ya magoli unashangilia points
Arsenal imefanya jambo la maana kuwin hizi small teams (Burnley and Norwich)sababu Next match Tottenham then kuna Big teams kama Liverpool Manchester United Leicester for example you played vs (Chelsea and Manchester City)and Arsenal Conceded 7 goals and 0 scored in two games Nigga
 
Castr, matatizo ninayo yaona,ni ya kocha. Siamini kama Arteta anaweza kuifanya Arsenal iwe competitive team. Nasubiri kusikia tathimini ya Ian Wright na Owen then I will comeback
Kipindi cha pili timu ilikua shit.

Nafikiri ameopt 4 1 4 1 ili aweze kuwaacommodate Saka, Pepe, Emile na Ode kwa pamoja. Sasa shida ni kwamba hii formation inataka wote muwe strong physically, mkubali kusafa pamoja na kushambulia pamoja. Muda wote muwe mnakimbia.

Na kwakua timu physically iko hovyo ndiyo maana hata hatukua lethal instead tumeonekana wachovu.

Angestick na 4 2 3 1 au hata 3 5 2.

White ni kinabo.

Gabriel tulimuiba.

Bado timu kwenye creation ina shida. Lets hope ni tunatransform.
 
Arsenal imefanya jambo la maana kuwin hizi small teams (Burnley and Norwich)sababu Next match Tottenham then kuna Big teams kama Liverpool Manchester United Leicester for example you played vs (Chelsea and Manchester City)and Arsenal Conceded 7 goals and 0 scored in two games Nigga
Kuconcede against City is acceptable by many levels. Considering thamani ya kikosi na moment timu ilipo.

Vipi kuhusu kuconcede dhidi ya Brugge? Huku una Messi, una kipa bora wa michuano ya Euro hata clean sheet hamjui inafananaje.
 
Ok I see you want to compare PSG and Arsenal which is unacceptable at all,PSG plays in Europe competition and Arsenal rest for almost 7 days and played nothing today in the pitch

You say PSG conceded against Brugge but remember that Brugge plays in the champions league and Arsenal not copy that?
 
Back
Top Bottom