joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,837
- 39,404
Tuliachiwa wiki moja ya kurudisha kidogo miili yetu naona machi za kimataifa zimeisha, haya ngojea tuisikilizie weekend hii nayo itakuwaje kupitia livescore.
Hapa mkuu unazungumzia vipigo gani? Kama ni kutifuana mitaro mpo njema sanaSasa ndio tunaenda kuanza ligi
Chelsea kipigo heavy is coming
Man u, points six net, nachukua
Wapuuzi ambao mmepiga sana kelele humuView attachment 1929229
Timu ya waliwa kinyeSasa ndio tunaenda kuanza ligi
Chelsea kipigo heavy is coming
Man u, points six net, nachukua
Wapuuzi ambao mmepiga sana kelele humuView attachment 1929229
Tuko pamoja na wew buraza kakaNyie wanangu sana arse8 wazee wa kutifuana mitaro. Kwenye hiyo sekta muko njema sana mpaka tunahisi hadi ma fans na ninyi mule mule kwenye mitifuano mupo. Au nasema uwongo ndugu zangu????
Labda kwenye uchoko.Tuko pamoja na wew buraza kaka
Acha shit hat nusu mjafika kwa arsenal
Sasa hicho kikosi nichakuwatisha Chelsea kweli? au ndugu yangu umeanza kuvuta bangi niniSasa ndio tunaenda kuanza ligi
Chelsea kipigo heavy is coming
Man u, points six net, nachukua
Wapuuzi ambao mmepiga sana kelele humuView attachment 1929229

stress zinarudi zileee kwa die hard fansPamoja sana mze! utani kwenye mpira kawaida kabisa..ila tatizo ni kuleta masuala ya matusi kwenye huu uzi wetu wa Arsenal..ha haha! Alafu mmeamua kuungana na nyumbu kabisa dah!Mkuu tunawapa mawazo mapyaunajua mkijichanganya na sisi washindi pengine tutawaambukiza winning spirit......joking mkuu
Msimu huu mwendo wa kuhesabu makuti wakati wenzenu wanahesabu nazi.Msimu sitashagaa mtu akipasuka 7 kutoka kwa arsenal
Tumedhihakiwa sana
Norwich huyu anaweza kupasuka ata 5
Man u nakunyosha nje ndani, points 6 nachukua
Chelsea round ya pili nakukaza 3, mdogo wangu tangu mvunje ungo mmekua na mdomo sana.
Unaongea sana that's why Arsenal haipati matokeo huyo Norwich unafikiri ni Mjinga sanaMsimu sitashagaa mtu akipasuka 7 kutoka kwa arsenal
Tumedhihakiwa sana
Norwich huyu anaweza kupasuka ata 5
Man u nakunyosha nje ndani, points 6 nachukua
Chelsea round ya pili nakukaza 3, mdogo wangu tangu mvunje ungo mmekua na mdomo sana.
let's wait and see
Kampa nafasi ya kufanya tu mazoezi na Team... Maana jamaa kwa sasa ana Team!Nimesoma kichwa cha habari sehemu, arteta anasema milango iko wazi kwa Jack
Huyu dogo, alikuwa na kipaji cha kusumbua dunia, majeruhi naona limmekuwa tatizo kubwa, sijui kama kuna jambo nyuma ya pazia.
Usishangae wakampa mkatabaKampa nafasi ya kufanya tu mazoezi na Team... Maana jamaa ana Team!
Kwenye Football lolote linawezekana...Usishangae wakampa mkataba