Cheza soka lenye akili wewe acheni ushubwada nyie Arsenal.Unawezakuta huyu ana watoto wanamuita baba!!!
Una stress sana. Kuna mtu alikutuma ushabikie Arsenane?Unawezakuta huyu ana watoto wanamuita baba!!!
Ndugu yangu, wewe umetangaza kuhama timu, ofcourse ni uhuru wako na hongera kwa hilo lakini naona kama bado unateseka hivi??Hehehehehe endelea kuishabikia Arsenal
Weee tema mate chini.,Sari alimaliza nafasi ya 4 ila akaishia wapi?SiO kwamba napenda kinachoendelea, nakereka, lakini siwezi kuhama timu kama malaya. Hopes mambo yatabadilika, hata chelsea, Liverpool man United walipitia hiki kipindi
hii message umekosea sehemu ya kuituma, umejisumbua kuandika tuu.Natamani mjifunze kitu kwa Monaco 2016-2019 chini ya leonardo jardim na Ajax kwa Eric ten hag 2017-2019......mjifunze walipataje ile cream bora ya wachezaji wao mfano Monaco Mbappe, mendy, bakayoko, fabinho, benardo silva, sidibe etc...
Ajax huko kukawa na cream bora ya ziyechi, Van de beek, de ligt, Neres, schone, Frank de jong. Onana.
Naamini mtajifunza kitu, arsenal bado ni brand kubwa sana, ikipata Youth system imara itafanya vizuri hapo kununua inakuwa wachezaji wawili watatu wazuri wakuboost team....
Kununua mastaa sio utamaduni wenu hamtauweza. Mnaweza jenga timu nzuri hizo paun mil 80 mkasajili mtu mmoja mwenye uzoefu akawapa ubingwa, kama lille walivyomsajili Burak Yilmaz aliejizeekea tayari ila mwenye uzoefu alioupata Galatasaray ya uturuki
Makinda wa academy wazuri kutoka Chelsea, Man u, man city, Juve, barca, madrid, liver, bayern, psg wakiahidiwa kucheza first team ndani ya miaka 2 hawawezi kataa wote mtapata academy nzuri hapo mjenge tu coaching team ya maana ya academy wawe tasked kuwajenga physically na mentally hao vijana kuingia firat team.....
Mbona mliweza kwa kina Nasri, Van persie, fabregas, wilshere na kina Ashley cole back then....
Mnaweza tumia pesa nyingi ila msipate cream bora....
Mzee achanaa na hii thread..mbona rahisi tu..kasherekee uzuri wa timu yako kwenye timu unayoishabikia..tuache mze na Arsenal yetu..sisi walaa hatuna upinzani na timu zenu kwa sahv..Huu uzi nitaupiga chini mda si mrefu mana hauna maana tena, Arsenal rasmi ishakuwa timu ndogo ni kama west Bromwich au fulham, hakuna tena upinzani, raha ya upinzani mtu unamcheka leo kesho anakucheka yeye, sasa kila siku unamcheka yeye tu haina maana.
Pole sana mkuu, I can feel ur pain, sorry [emoji52]Mzee achanaa na hii thread..mbona rahisi tu..kasherekee uzuri wa timu yako kwenye timu unayoishabikia..tuache mze na Arsenal yetu..sisi walaa hatuna upinzani na timu zenu kwa sahv..
Too much painfull bro..but anyway..tutarudi tu sawa ni suala muda..Pole sana mkuu, I can feel ur pain, sorry [emoji52]
..dah! take easy!..japo inaumiza mno!..ila ni suala la muda baada ya mapumziko ya kiamataifa, tutarejea sawa kaka.Timu yenye historia kama arsenal ni aibu kuanza msimu kwa mtindo huu.
Apparently mpaka wachezaji wameonyesha kukerwa. Sasa nimeshangaa wanakerwaje wakati wao ndiyo wapo uwanjani?
[emoji28][emoji28]Yule jamaa sijui amekimbilia wapi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] alikuwa na mdomo sana.Alikuwa anadanganya wenziwe kwamba arteta ni guardiola mdogo hahahahahahahah