Arsenal (The Gunners) | Special Thread

This team doesn't need a new coach or owner. This team needs Allah wallahi
 
Conte ni mtu mwenye msimamo mkali lakini pia ni moja ya top quality coaches you find..

Shida ni kwamba ase8 wataweza masharti yake?
 

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kiutani utani hii timu inashuka daraja.
 
Huyu kocha wenu inabidi amtafute Ole ampe mbinu za kukabiliana na Pep! Otherwise mtaendelea kuumia kila siku.

5 - 0.
 
Kwa nini arsenal mnasajili mabeki warefu wakati gundogan anapiga kichwa katikati yao kwa urahisi hivi?
 
Hivi Arsenal ingekuwa gari kwa hali iliyokuwa nayo sasa, ingekuwa gari ipi? Na ingekuwa pikipikije?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…