hatuhamiJamani kama mlivyo Fanya kuchagua kuishabikia Arsenal sio dhambi,kosa la madai au kosa la jinai kuitelekeza hii sio ya baba yenu ,tafuteni team nyingine zipo 19 EPL usiwe Kupe .
Kwahiyo kroenke atafutwe alipo alazimishwe kuuza au inakuaje hapa jamani?
3-0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kisha kula 2-0 ndani ya dakika 12 tu!
ARSENAL ni kama mtoto yatima siye na matunzo.3-0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Aubameyang anatembea tu!
Vipi mpaka hapoHuu ushindi utawapa wachezaji nguvu kuelekea game ya keshokutwa
Kumbe upo online eh? Arsenal naona mancity ashamaliza pakiti ya kwanza ya kondomuMost likely mimba yako ilitungiwa vichakani, mmulize vizuri babako