Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wandugu anzeni kutafuta timu za kushabikia mwakani hatutokuwa na nyinyi.
Screenshot_20210828-144837.jpg
 
Jamani kama mlivyo Fanya kuchagua kuishabikia Arsenal sio dhambi,kosa la madai au kosa la jinai kuitelekeza hii sio ya baba yenu ,tafuteni team nyingine zipo 19 EPL usiwe Kupe .
 
Back
Top Bottom