ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Endelea kuota. mcheze ushubwada ule kwa man city mtakula 10. Sema mmekutana pipa na mfuniko.Kwa leo mpaka hapa chama langu limenifariji
Endelea kuota. mcheze ushubwada ule kwa man city mtakula 10. Sema mmekutana pipa na mfuniko.Kwa leo mpaka hapa chama langu limenifariji
Duuh kwan hii ni epl.? Mbona arsenal mnapenda kujifariji kwenye upuuzi yani mnacheza ligi ya kichovu halafu mnajisifia.Waliosema magoli yatachaguliwa ya training hawakujua kama leo kuna mechi
Hakuna sehemu nimejisifia.Duuh kwan hii ni epl.? Mbona arsenal mnapenda kujifariji kwenye upuuzi yani mnacheza ligi ya kichovu halafu mnajisifia.
Hv mmesahau kuna kipindi Chelsea alicheza na timu flani hv ya kichovu halafu Kai Havertz akafunga hat-trick watu mkatushambulia sana ety amefunga kwenye team ndogo.? Acheni kujifariji kwenye ligi mlenda msubirini man cty awakamue.
London is blue 💙🔵💙
Mi naona game ilikua ya hovyo imeonyesha beki bado siyo nzuri na forwards siyo clinical vya kutoshaKwa leo mpaka hapa chama langu limenifariji
Yote 9 binafsi spirit ya wachezaji na ushindi ule umenifurahisha na naamini utawapa confidence ya kupata matokeo huko EplMi naona game ilikua ya hovyo imeonyesha beki bado siyo nzuri na forwards siyo clinical vya kutosha
Beki iliyoicheza jana yote ni reserve. Tavares anaonyesha matumaini, ana makosa madogo sana lakini akipewa musa he is good. Chambers bado so is KolasinacMi naona game ilikua ya hovyo imeonyesha beki bado siyo nzuri na forwards siyo clinical vya kutosha
Beki reserve ni reflection ya starting 11. Tavares, Chambers na Kolasinac hawakua vizuri. Kwa kifupi ni kwamba ukiangalia mabeki na mawinga wetu kitakwimu wanaonyesha wana poor physical conditioning inayowafanya washindwe kukaa na mpira kwa muda mrefu.Beki iliyoicheza jana yote ni reserve. Tavares anaonyesha matumaini, ana makosa madogo sana lakini akipewa musa he is good. Chambers bado so is Kolasinac
Tumeshinda magoli sita. Ila mangapi yana assisst? Zimetengenezwa nafasi za wazi nane ila zimekoswa 4 nafikiri forwards wetu bado na ndiyo maana tukicheza na timu yenye beki nzuri inakua ngumu kutoboa.Yote 9 binafsi spirit ya wachezaji na ushindi ule umenifurahisha na naamini utawapa confidence ya kupata matokeo huko Epl
Ila bado tuna shida ktk utengenezaji wa magoli yaan tunafunga kibahati tukikutana na timu makini kazi tunayo
Lukakuuuuuuuuuuuu goaaaaalKuifunga Westbromwich ni sawa na kuifunga Chelsea. Siwezi kujisifia.
Sidhani kama Arsenal imewahi kucheza na timu inaitwa chelsea. Ligi ina timu 24 na miaka yote sijawahi ona timu inaitwa chelseaLukakuuuuuuuuuuuu goaaaaal
Jamessssss goalllllllllll
Unazungumzia arsenal kuifunga Chelsea ya mwaka gani.?
Arsenal hana ugoko wa kuizuia Man city, wajitahidi kupunguza idadi ya magoli watakayo fungwa.Hongereni kwa ushindi mnono nyie matakataka.
Jumamosi fanyeni kweli tuinyanyue London..
Huku tukimla livakuku basi na ninyi kazeni kalio mfanye kweli man Shityee nani bwana...Mimi naamani Arteta akijiamini basi anashinda vizuri tu yani..
Arse8 hili chama kubwa sana wazee tushinde ile game ili London ing'ae ..mbona spurs kampiga huyo Shityee.. Na ninyi jumamosi fanyeni kweli wanang arse8 tushinde au tuwaazime lukaku??
CFC.
Afadhali ww mwenyewe umesema ligi ina timu 24, bila shaka ushajua n ligi gani hy na Chelsea yupo ligi yenye teams 20Sidhani kama Arsenal imewahi kucheza na timu inaitwa chelsea. Ligi ina timu 24 na miaka yote sijawahi ona timu inaitwa chelsea
Hivi kesho Arsenal si inacheza?
Mfano ikapata goli kesho hilo goli halitakua la mwezi?
Hii story ya City inakujaje?
Mbona kuna watu wengi sana hawana taarifa sahihi halafu ndiyo wanapenda kuandika?


si mchezoArsenal hana ugoko wa kuizuia Man city, wajitahidi kupunguza idadi ya magoli watakayo fungwa.


SijakuelewaAfadhali ww mwenyewe umesema ligi ina timu 24, bila shaka ushajua n ligi gani hy na Chelsea yupo ligi yenye teams 20
Arsenal imeshinda goli tano?🙄🙄Arsenal kumbe mmeshinda jana lakini hamsemi?
Mmeanza Ligi kwa kishindo goli tano zotesi mchezo
Acha wivu mzee, arsenal tumeshinda 6 na tumeanza ligi ya carabao kwa kishindo kikuu 😁😁Arsenal kumbe mmeshinda jana lakini hamsemi?
Mmeanza Ligi kwa kishindo goli tano zotesi mchezo