42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Natambua kwamba Kocha mnasajili muda wowote. Ila.mnadhani Conte atakuja wakati anajua fika dirisha limefungwa na Arsenal hii ni mbovu?Duuuuuh!!!!!!!Hawa jamaa waloanza kushabikia mpira kutokana na BETTING bhana!!!!
Eti dirisha litakuwa limefungwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kuota mkija kuamka mtajua hamjui.