Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

leo nyie wenzetu mtakua kundi gani la michuano ya ulaya 🏃🏃🏃🏃🏃
 
naskia mmepangwa group moja na gwambina mshafuzu majiran
IMG-20210827-WA0019.jpg
 
Dhidi ya City Arsenal ana odds 13.

Hehehe hii mechi natakiwa kuiangalia.
 
Sijui nini kimetokea ila Lyon wamemuweka Aouar sokoni na wapo tayari kumtoa kwa mkopo with obligation to buy.

Sasa ni kama vile Arsenal inatakiwa iswoop in ibebe mtu au siyo? Apparently inatakiwa kuondoa wachezaji 3 au 4 ili kufanya Aouar kuja pale iwe inawezekana.

Torreira kashaenda Fiorentina.

Willian na Corinthians wanaendeleza mazungumzo.

Sead anaelekea Fenerbahce na taarifa za mwanzoni zinadai yeye na bodi walikubaliana kuvunja mkataba.

Nketiah kuna ofa ya 10M mezani ila Arsenal inataka 20M.

Klabu zote zilizohusishwa na Bellerin zimeyeyuka.

Binafsi naona kuna uwezekano mkubwa asisajiliwe yeyote tena kama edu ana maono ya kuondoa watu ili kuleta watu.

Kaka wa mmiliki wa PSG ameonyesha nia ya kuinunua Arsenal. Kroenke alishagoma kuiuza kwa Daniel wa Spotify sioni kama safari hii atakubali.
 
Hahahaha kwa hiyo na nyie arse8 mkiuza wachezaji huwa unafanya negotiations kumbe!?? Me nikadhani mkitajiwa bei mnaruka nayo tu.
Kama huyo Willian bei ya jioni tu chukueni hiyo mjazie jazie ili msikose pesa za mshahara nyie mbuzi..
 
Huyo jamaa ni kinabo halafu anataka mshahara mrefu ndiyo maana hadi leo bado yupo.

Matajiri ndiyo hamfanyi. Nyinyi mngekua mnafanya negotiations mngeweka clause fulani dili ya Lukaku isingewachukulia mpunga mrefu.
 
We unajua Arsenal ina majeruhi wangapi?
Majeruhi ndio nini?????? Hata mngekuwa fit squad nzima Arsenal hii haina uwezo hata wa kupata sare Etihad......Wachezaji wanacheza mpira kama wana Mabusha.
 
Back
Top Bottom