Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unataka 3-4-3 una wachezaji wanaoweza kuwa flexible kucheza huo mfumo ?
 
Unataka kuniambia Kante, Pulisic,Mendy, Jorginho, Lukaku, Ziyech, Mount n.k wanabebwa na morali na si kwa ubora?
 
Unataka kuniambia Kante, Pulisic,Mendy, Jorginho, Lukaku, Ziyech, Mount n.k wanabebwa na morali na si kwa ubora?
Kwani si kikosi hichi hichi ndiyo kilifungwa na Arsenal?🙄🙄🙄🙄

Ukimtoa lukaku?

Si hicho hicho kimetembelea suluhu na kufungwa tano?

Mbona unakua mgumu kuelewa?
 

Hiyo 343 Arteta kashacheza toka anachukua FA cup, Tuchel ni km kaicopy tu, mashabiki ya Cheltakoo mengi hayajuhi mpira
 
Kwani si kikosi hichi hichi ndiyo kilifungwa na Arsenal?🙄🙄🙄🙄

Ukimtoa lukaku?

Si hicho hicho kimetembelea suluhu na kufungwa tano?

Mbona unakua mgumu kuelewa?
For sure Lukaku aliongeza ugumu looked unstoppable, ukicheki the first goal ambalo iliopen up a game , players wetu nao umakini confidence ilikuwa zero, ndio maana nasemaga kuna ulazima wa kuwa na Aouar na Odegaard they are comfortable with the ball inasaidia kuwin possession, at least 1-1 HT tungeweza shinda hii game.
 
Morali na confidence kwenye timu ni bonge la ishu. Kocha alazimishe mid na forwards kushuti wakiwa nje ya 18.
 
Sio Hilo tu bro, unasahau jingine la kushangaza. anamuondosha William Saliba then anamuacha Pablo Mari kutuaminisha hakukosea kumsajili.
EXACTLY! EXACTLY bro.

Yaani kwa kuwa Pablo Mari kamsajili yeye basi anataka kuiaminisha dunia kwamba hakukosea. His friendship na Mari huko Man City ndio kilikuwa kigezo kikubwa cha Mari kusajiliwa Arsenal.

Arteta is Crap. Na wale waliokuwa wakimsifia humu jukwaani ambao sasa wamelikimbia jukwaa I wish wasirudi humu wajinga wakubwa. Tulikuwa tukiwaambia humu wanatuona sijui nini.
 
Sasa mkuu ni nani aliemleta Lokonga na kumfukuza Guendouzi?? Ambae ni fighter haswa??

Nani anaewasajili kina Tavares??? Angalia usajili wa Unai ulivyokuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…