OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Cheltako ndo nini wee mbanga?? Acha ushubwada na timu za wanaume..Sasa hivi unatumia acc gani kule Cheltakoo?, maana unayotumia unyumbuni naijua inatusumbua sana humu.
Dah ebhana pole sana mkuuNilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
Hii siyo timu mkuu ni genge la wahuni ..usitegeme kushinda kwenye hizo game mbili..Odegaard tayari amewasili London na kwa kuwa ana chanjo zote mbili hatakiwi kuwa karantini.
Hivyo huenda akacheza jumapili dhidi ya Chelsea.
Arsenal inapewa nafasi ndogo ya kushinda mechi hiyo pamoja na ile na Manchester City.
Ila lolote laweza kutokea.
Kwa mawazo haya, kweli aseno mnatembelea kwenye uvumilivu na kufarijiana, Ila duuuhHii analysis yako ni kali. Kwa hiyo wewe unaamini kwamba mtu mmoja ndio anashusha timu daraja!!!! Kwamba timu hata kama ina keeper kama Allison wa Liverpool lakini ina defense mbovu, keeper ndio anapaswa kulaumiwa kwa kufungwa magoli!!!!! Unafikiri angekuwa mbovu Southgate angemuita timu ya taifa kama kipa namba 3?
A club that I used to support my whole life now has become garbage.
Mashabiki wa arsenal ambao wanaenda uwanjani wananishangaza sana,Maana siilewi kitu wanachoendaga kuangalia na kukitarajia kwa arsenal hii mbovu.
Ukweli mchungu ni kua 5 years to come kama tukibakiwa na board hii yenye mentality ya 'profit making only' na average players hawa tulionao tunaenda kua midtable team EPL.
Ukweli ni kua siku hizi sisi sio tishio tena
Hata hii Chelsea iliyoanzishwa rasmi 2003 ishaanza kutupiku mafanikio na hii yote ni kutokana na board nzuri waliyonayo pamoja na tajiri kua na mafanikio ya makombe.
Ndugu zangu @Castr,@isajorsergio,@gspain,computerarsenal na mashabiki wengine wa arsenal humu jamvini Tuendelee tu kuipenda na kuisapoti team yetu ila kiukweli board hawapo serious kabisa na hii timu.
Licha ya hivyo lakini kwa cheltako na mama ester utd point zangu 4+ zipo pale pale.
Love arsenal
Hate kroenke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unahisi ni fake fans?Watu wanatumia nguvu sana kuichukia hii timu
Hawa ni fake fans, wanamtukana GK RamsdaleView attachment 1898497
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanatumia nguvu sana kuichukia hii timu
Hawa ni fake fans, wanamtukana GK RamsdaleView attachment 1898497
Sent using Jamii Forums mobile app
We shabiki gan kwanza?Hii ni timu ama?
We shabiki gan kwanza?
Kama shabiki wa cheltako jiandae j2 kwa kipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndo royal fans wanaoenda uwanjani usiwashangaeA club that I used to support my whole life now has become garbage.
Mashabiki wa arsenal ambao wanaenda uwanjani wananishangaza sana,Maana siilewi kitu wanachoendaga kuangalia na kukitarajia kwa arsenal hii mbovu.
Ukweli mchungu ni kua 5 years to come kama tukibakiwa na board hii yenye mentality ya 'profit making only' na average players hawa tulionao tunaenda kua midtable team EPL.
Ukweli ni kua siku hizi sisi sio tishio tena
Hata hii Chelsea iliyoanzishwa rasmi 2003 ishaanza kutupiku mafanikio na hii yote ni kutokana na board nzuri waliyonayo pamoja na tajiri kua na mafanikio ya makombe.
Ndugu zangu @Castr,@isajorsergio,@gspain,computerarsenal na mashabiki wengine wa arsenal humu jamvini Tuendelee tu kuipenda na kuisapoti team yetu ila kiukweli board hawapo serious kabisa na hii timu.
Licha ya hivyo lakini kwa cheltako na mama ester utd point zangu 4+ zipo pale pale.
Love arsenal
Hate kroenke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanaenda uwanjani kuegetemea nini kutoka kwa column chambers?.Hao ndo royal fans wanaoenda uwanjani usiwashangae
Hiyo if vipi hapo?Big spenders gunners View attachment 1898253
Juzi mendy wa city ndiye alikua mtoa maboko wa timu.A club that I used to support my whole life now has become garbage.