Jamaa hana mpango wa kuondokawadau cha msingi mwelezaji wetu bwana kroenke aondoke tu ndo shida zitaisha
Jamaa hana mpango wa kuondokawadau cha msingi mwelezaji wetu bwana kroenke aondoke tu ndo shida zitaisha
mbona mshakaji katoa hela ila wanaenda kusajili whitewadau cha msingi mwelezaji wetu bwana kroenke aondoke tu ndo shida zitaisha
Mchezaji kununuliwa kwa pesa nyingi kuna factors nyingi zinahusika. Hiyo pesa aliyotoa hata Villa anatumia pesa kutuzidimbona mshakaji katoa hela ila wanaenda kusajili white
Locatelli sio talented sana but he is very good technically, na ukizingatia kocha wetu ana high technical demand, locatelli angefit vizuri pale EPL,Ila mi naona Locatelli hana ukali wa kusema ukimkosa roho ikuume. Kama kweli shida ni nafasi waliopo wagawe kwa mkopo hiyo ndiyo option inayokua imebaki.
Xhaka hata Arsenal ilitaka abaki.
Ila waliopo wanabana nafasi mbona Willock kaondoka na hakuna ingizo jipya? Kolasinac anaondoka/ ameondoka, hakuna ingizo jipya.
Arteta anajihami mno. Weka fullback Tierney na Tavarez au Tavarez na Soares acha wakimbize watu pembeni anamng'ang'ania Chambers. Yaani jamaa anafanya uchaguzi wa kikosi akiwa amelenga kudefend
Ukimuweka Neves na Locatelli bora ukomae na Locatelli.Compare na hii ya NevesView attachment 1894960
Nimemuweka Neves sababu tulihusishwa naye, ngoja nitafute ya Bruno G nikuwekeeUkimuweka Neves na Locatelli bora ukomae na Locatelli.
Statistics zinaonyesha Arsenal ndio timu ya mwisho yaani yenye Slow build-up play pale EPL kwa last season, inawezekana ndio imepelekea uhaba wa magoli last season, hapa tulikuwa chini ya Luiz, Holding, na Gabriel as CB.mbona mshakaji katoa hela ila wanaenda kusajili white
Carragher alimchokoza David Luiz na akapata majibu mujarab.Majamaa lengo kumtoa dogo mchezoni, Southgate kaja kumcheki game ya Brentford nadhani wanajaribu kutetea nafasi za wachezaji wao WC.
" Every CB in the top 6 is good on the ball making the point it's not a unique trait" NevilleView attachment 1894986
Luiz alipigilia nyundo ya kichwaCarragher alimchokoza David Luiz na akapata majibu mujarab.

unatakaje?Timu ya mazuzu, yanadiscus usajili mpk sahzi?
Antonio Conte hawezi kuja timu kama Arsenal.Naona Arsenal wameanza kumfukuzia Antonio Conte na Blendon Rogers!.. Hiyu Artete awe serious na kazi yake.. Kuna ewezekano akipoteza mechi ya jumapili na chelsea anaweza akapoteza kazi yake
