computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Milango 3 ndio nani?huoni kama dunia nzima inailaumu Arsenal mpaka Rais wa Rwanda?ina maana mtu akitoa maoni ni against Arsenal hata kama ni Arsenal?Kwa hiyo hii ni account moja sio, Mzee baba milango mitatu una account nyingi sana
Wolves na Brentford unaifananisha?ngoja tukuachie jukwaa hili uandike ujinga wakoAnavyofungwa na Wolves tena kwa comeback hua katika hali gani?
Rais wa Rwanda anajua nini kuhusu mpira? unasikilizaje watu wenye Poor tactical knowledgeMilango 3 ndio nani?huoni kama dunia nzima inailaumu Arsenal mpaka Rais wa Rwanda?ina maana mtu akitoa maoni ni against Arsenal hata kama ni Arsenal?
Mtu kaweka mamilioni ya paundi na wewe ambaye haujaweka chochote mtafanana vipi?nani anaujua mpira kati yako na kagame?au wewe ni Manchester United unatuchora tuRais wa Rwanda anajua nini kuhusu mpira? unasikilizaje watu wenye Poor tactical knowledge
kumbe napoteza nguvu kwa ChiziMtu kaweka mamilioni ya paundi na wewe ambaye haujaweka chochote mtafanana vipi?nani anaujua mpira kati yako na kagame?au wewe ni Manchester United unatuchora tu
Huna jibu wewe hujaweka chochote kwa Arsenal that's why unaongea ushuzi tu hakuna shabiki kindaki ndaki wa Arsenal anayeona kufungwa na Brentford ni kawaida hakuna huyo fan nimeona inawezekana ukawa una damu ya Manchester Unitedkumbe napoteza nguvu kwa Chizi
K vant ishapandisha sio, poa MsangarafuHuna jibu wewe hujaweka chochote kwa Arsenal that's why unaongea ushuzi tu hakuna shabiki kindaki ndaki wa Arsenal anayeona kufungwa na Brentford ni kawaida hakuna huyo fan nimeona inawezekana ukawa una damu ya Manchester United
Mzee baba nakujua vizuri vibe zako, file lako ninalo au unabisha LONDON IS BLUE Haikuwa acc yako?Huna jibu wewe hujaweka chochote kwa Arsenal that's why unaongea ushuzi tu hakuna shabiki kindaki ndaki wa Arsenal anayeona kufungwa na Brentford ni kawaida hakuna huyo fan nimeona inawezekana ukawa una damu ya Manchester United
Naona umekomaa kuniita mjinga tangu juzi unahisi upo sahihi au siyo?Wolves na Brentford unaifananisha?ngoja tukuachie jukwaa hili uandike ujinga wako
idiotUnakuta humu napo wanajadili mpira sasa sjui mpira gani huo
Huyo mtoto mshamba sanaNaona umekomaa kuniita mjinga tangu juzi unahisi upo sahihi au siyo?
Maisha ni kuchaguaMmiliki anayetumia Tecno wa nini sasa
Usilikimbie tupo hapo kwa ajili ya kuwafarijiWiki ngumu hii ukizingatia Man na Chelsea wote wameshinda, wote wanahamia humu jukwaa hili lishakuwa lao.
Na kwa mwendo huu msimu huu jukwaa tutalikimbia hili.
ndiyo top 6 yupo kwa mda mrefu sansSpurs timu kubwa?
umekoseaKwa hiyo hii ni account moja sio, Mzee baba milango mitatu una account nyingi sana
jiheshimuK vant ishapandisha sio, poa Msangarafu
Sasa hivi unatumia acc gani kule Cheltakoo?, maana unayotumia unyumbuni naijua inatusumbua sana humu.jiheshimu