Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

OFA,,OFA,,OFA,,Maalim anaeweza kutuma jini Makata na likafika Uingereza chini ya nusu saa anaicheki DM.

God bless Arsenal.
 
Hakuna kitu kama hicho, paka January hivi Arsenal itakuwa in Top four.
hihiiiiiihiiiii mpaka January hili jukwaa litabakiwa na mashabiki wawili au mmoja wa Arsenal nshanunua jezi yangu ya PSG na kundi letu la WhatsApp la mashabiki wa Arsenal wamesha unfollow official page ya Arsenal

Mechi za pre season tumefungwa almost mechi zote kauli ikawa its just a pre season ,now tumefungwa na Brentford tena ya Championship na hakuwa bingwa wa huko then utarajie Top 4?kama unatumia kilevi ACHA
 
Tunakutakia maisha mema huko psg!.. Badili na jina pia liwe computerpsg
 
Baada ya match ya jana zimebaki point 5 tu. Na tutawapita siyo muda. Na hapo ndio mtajua London is Blue.
20210815_155357.jpg
 
City kapigwa lakini hamna anayewapigia kelele. Unadhani kwanini?
 
Back
Top Bottom