Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa wachezaji waliopo Arsenal sio timu ya kunyanyaswa vile na Brentford
 
Mungu atunusuru tusishuke daraja baada ya mechi 3 tutakuwa na point 0 hilo halihitaji ubishi au kutokuwa na akili timamu ya kulitambua hilo!Maadui zetu wote wanafungua msimu na point 3 za Maana!na ndio wataunda Top 4 na Top 10.Weeekend njema
Humu ndani wewe ndio una akili kuliko Arsenal wenzako.
 
Mungu atunusuru tusishuke daraja baada ya mechi 3 tutakuwa na point 0 hilo halihitaji ubishi au kutokuwa na akili timamu ya kulitambua hilo!Maadui zetu wote wanafungua msimu na point 3 za Maana!na ndio wataunda Top 4 na Top 10.Weeekend njema
Na hauhitaji akili nyingi, lisha onekana bado kukamilika, Chelsea kidogo watatupiga chache ila City na uona mkono.
 
Na hauhitaji akili nyingi, lisha onekana bado kukamilika, Chelsea kidogo watatupiga chache ila City na uona mkono.
Fact kabisa hivi kwa kikosi cha jana unategemea maajabu katika next 2 matches kuwa tutashinda ?inahitaji uwe na degree ya Mirembe kuamini utashinda!hii timu kichefuchefu na msimu huu utakuwa mbaya sana hatuna Europe matches but kwa kocha huyu ,Wachezaji hao hao naapa nafasi ya 16 after May itakuwa ni kombe kwa Arsenal!naanza kutafuta jezi ya PSG soon
 
Back
Top Bottom