Hali ya mgonjwa inaendeleaje?
Kumaanisha kwamba, tia maji tia maji, sio?Ametema uji
Sawa.Muda umefika tuache kuwachezesha wachezaji kwa kuangalia majina but what they deliver, I am happy with the team selection.
Brentford hakustahili kunywa hiki kikombe
Kwa lugha ya mtaani, "dogo anahemea mipira"
SawaThamani aliyonunuliwa Pepe, inanunua kikosi cha brentford kinachoanza leo, na chenji inabaki
NotedExpecting to field the younger players against Brentford, hopes they will be striving to show what they are capable of without big names.
Come on you "manati"Come on you gunners....
.jiheshimu uheshimiwe
ZILE LAWAMA ZIMEANZA MAPEMAAA..DAKIKA YA 20 TU YA MECHI YA KWANZA...MKUMBUKE MNA MECHI 38 MBELEUwezo wa Leno ni mdogo sana. Sijui kroenke wanatazama hii mechi?


Kumaanisha kwamba, tia maji tia maji, sio?