Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

tiemoue-bakayoko.jpg
 
Maddison hana ukali huo. Mimi binafsi naona Arsenal tunacheza kamari hapa ya kuwaridhisha mashabiki.

Arsenal ina shida na mtengeneza nafasi Maddison ana takwimu gani za kumfanya awe mtengeneza nafasi wa kumlilia? Na bahati mbaya sana mtengeneza nafasi kwa miaka hii wa kiingereza amekua Arnold, beki wa Liva, na Kane mshambuliaji.

Kwangu mimi huyu siyo mchezaji wa kuuzwa milioni 70 ila hapa ndiyo tunarudi palepale tunaposema "Ben White hana thamani ya milioni 50 ila Brighton wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Lukaku hana thamani ya milioni 150 ila inter wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Grealish hana thamani ya milioni 100 ila Villa wanaamini hiyo ndiyo thamani yake"

Arsenal ikipata winger mwenye speed, finnishing na skills hata za level ya Mahrez niamini mimi pengo la Maddison halitoonekana.
Saka si yupo?
 
Eti Arsenal inamtegemea Saka kuwapa UEFA champions league, Premier league na Ligi ingine duuuu
 
Lukaku replacement yake Duvan Zapata wa Atalanta, Lautaro ana mkataba hadi 2023 ni rahisi kuuzwa
Endapo lautaro watamuuza hela itabidi iwatoke
Nawajua nyie hamuwezi toa 70 kwa madders na lautaro each
 
Kijana wetu ESR kazidiwa na Grealish tu in creating shots, best midfielder in Europe
IMG_20210805_170138.jpg
 
Endapo lautaro watamuuza hela itabidi iwatoke
Nawajua nyie hamuwezi toa 70 kwa madders na lautaro each
Maddison hata Simuwazi Cuz Aouar is cheap na potential kuliko Maddison, akija Lautaro na aouar itakuwa balaa zaidi.
 
Wazee Joe Willock safari imeivaa, huyu tungemvumilia hata msimu huu.

Arsenal wachezaji wazuri wanauzwa kwa vunja bei, Kwa Mfano Emi martinez, Mchezaji kama Emile Smith rowe angekuwa Norwich bei yake ungeambiwa £60m. Wakiwa Arsenal wanaBid £20m!
 
Sijui niseme nini ila Willock ni aina ya mchezaji ambaye anadevelop taratibu kama unakumbuka Emery ametoa sana game time kwa Willock, Nelson na Niles. Katika hao watatu ni Niles tu ndiye alionyesha kuna kitu anafanya.

Willock anapendeza kua kwenye timu ambayo inataka kufanya biashara na siyo yenye shida na kurestore glory. Willock angekua Arsenal ya Wenger ingekua poa kwake kwakua angetengenezwa kuja kuuzwa.

Arsenal hii ili ikuvumilie angalau uwe umebadilika kama unakumbuka hata Pepe aliwekwa sokoni alivyobadili muelekeo ndiyo anavumiliwa. Sancho alitoka city, pogba alitoka united, lukaku alitoka chelsea, Martinelli alikataliwa united. Hizi mambo hua zinatokea
 
Umesema kweli ila willock is only 21, huyo Niles ni deadwood aende tu, Willock apewe game time akishindwa auzwe next season hata bei inaweza kuwa juu sio hiyo £22m.
 
Umesema kweli ila willock is only 21, huyo Niles ni deadwood aende tu, Willock apewe game time akishindwa auzwe next season hata bei inaweza kuwa juu sio hiyo £22m.
Itakua ni kamari ujue. Kama Willock ni late bloomer itasaidia kama haitakua hivyo itakua kujutia kukataa pesa ya kipindi hichi.

Ila ukiuza Willock ili uongeze pesa ya Lautaro mi sioni shida sana.
 
🐐 Lionel #Messi as a #FCBarcelona player:

👉 672 goals [RECORD]
👉 268 assists [RECORD]
👉 778 games played [RECORD]
👉 6 Ballon d'Or [RECORD]
👉 6 Golden Boots [RECORD]
👉 8 Pichichis [RECORD]
👉 35 titles [RECORD]

Where to next? 🤔👀
 
Back
Top Bottom