Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,542
- 81,340
Hahaha nasikia Messi anatua Arse8 ..mshindwe wenyewe kuwa mabingwa.
Tayari tushamsajili Messi. Msimu huu kombe letu.
Hahaha nasikia Messi anatua Arse8 ..mshindwe wenyewe kuwa mabingwa.
Jifunze kubalansi shobo kijanaHahaha nasikia Messi anatua Arse8 ..mshindwe wenyewe kuwa mabingwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aje acheze na lokonga NO[emoji23][emoji23]Jifunze kubalansi shobo kijana
Kasema anataka kucheza na Musonda. Kamchukueni.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aje acheze na lokonga NO[emoji23][emoji23]View attachment 1882025
Messi 1 ni sawa na arsenal 100000[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aje acheze na lokonga NO[emoji23][emoji23]View attachment 1882025
Hii timu yetu Arse8 tutabeba makombe yote hata Yale ambayo hatushiriki.View attachment 1882015
Tayari tushamsajili Messi. Msimu huu kombe letu.
Huyu Messi ni free kwa sasa hana timu, sisi Arse8 wazee wa ganda la ndizi ..tumchukue tubebe ubingwa.Jifunze kubalansi shobo kijana
Sisi Arse8 na hela zetu za mafungu tumchukue tu huyu Messi maana ni free agent.Messi hawezi kuja kwenye timu mimavii kama hii.
Kama hayo makadirio yako ni ya ukweli basi chelsea ipo katika hali mbaya zaidi maana hata Zlatan alichojibu mlipotaka kumsajili kinasononesha sanaMessi 1 ni sawa na arsenal 100000
Kwahiyo umeshindwa kabisa? Huko Doha si bosi wako atapokea mahari hivi karibuni tu?Huyu Messi ni free kwa sasa hana timu, sisi Arse8 wazee wa ganda la ndizi ..tumchukue tubebe ubingwa.
Hiyo timu gani? Mbona Arsenal haina mchezaji anaitwa Thomas we kinabo
BREAKING. [emoji599][emoji599]Kasema anataka kucheza na Musonda. Kamchukueni.
Mnaanza ligi na timu gani?BREAKING. [emoji599][emoji599]
The person who photoshopped Messi in Arsenal Jersey has been arrested.[emoji856][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akina lokonga
kabla atujaanza ligi tunakukarbisha tarehe 11 tunajambo letu pale tunaenda kuwarudishia heshima ww na nyumbu kwa VillarrealMnaanza ligi na timu gani?
Mechi ni villa ni suluhu mtakutana penati.kabla atujaanza ligi tunakukarbisha tarehe 11 tunajambo letu pale tunaenda kuwarudishia heshima ww na nyumbu kwa Villarreal
crystal palace ndo tunaanza naeMechi ni villa ni suluhu mtakutana penati.
Kwenye ligi mnaanzaje
Uhakika kushinda au hadi msajili mshambualiaji?crystal palace ndo tunaanza nae
Yule yule mliyemnunua Atletico kwa mbwembwe nyingi...Hiyo timu gani? Mbona Arsenal haina mchezaji anaitwa Thomas we kinaboView attachment 1882248