Sijaona kama Lautaro katugomea au la so nahisi hapa swala ni pesa ila unajua ukiwa na mchezaji kama Lautaro inakua ngumu kumuweka benchi.
Hii inamaanisha kuna wachezaji itabidi uwapige benchi sasa ishu inakuja kwamba utapigaje benchi Martinelli na Balogun huku ndiyo kwanza umetoka kuwasainisha mikataba mipya? Tena Leverkusen na wenzao wamekuja kumuulizia Balogun ukamshawishi abaki.
Ili aje lazima Auba au Laca na Nketiah waondoke ili kubalansi. Kama sivyo Lautaro achezeshweMpango uliopo ni kumuuza Laca binafsi napenda iwe hivyo hawa jamaa wa America ya kusini wako vizuri wanafunga magoli katika mazingira magumu afu wako fasta na ubishi kwa mabeki.Sijaona kama Lautaro katugomea au la so nahisi hapa swala ni pesa ila unajua ukiwa na mchezaji kama Lautaro inakua ngumu kumuweka benchi.
Hii inamaanisha kuna wachezaji itabidi uwapige benchi sasa ishu inakuja kwamba utapigaje benchi Martinelli na Balogun huku ndiyo kwanza umetoka kuwasainisha mikataba mipya? Tena Leverkusen na wenzao wamekuja kumuulizia Balogun ukamshawishi abaki.
Ili aje lazima Auba au Laca na Nketiah waondoke ili kubalansi. Kama sivyo Lautaro achezeshwe namba 8.
In my opinion acha aje tu maana bado mdogo ana 23, Auba na laca hawa hawana muda mrefu Arsenal, Nasikia Arsenal wamejaribu kumuweka laca kwenye hili deal ila inaonekana Inter wanataka cash tu.Sijaona kama Lautaro katugomea au la so nahisi hapa swala ni pesa ila unajua ukiwa na mchezaji kama Lautaro inakua ngumu kumuweka benchi.
Hii inamaanisha kuna wachezaji itabidi uwapige benchi sasa ishu inakuja kwamba utapigaje benchi Martinelli na Balogun huku ndiyo kwanza umetoka kuwasainisha mikataba mipya? Tena Leverkusen na wenzao wamekuja kumuulizia Balogun ukamshawishi abaki.
Ili aje lazima Auba au Laca na Nketiah waondoke ili kubalansi. Kama sivyo Lautaro achezeshwe namba 8.
Halafu nimesahau uliuliza Luca Jovic wa nini.In my opinion acha aje tu maana bado mdogo ana 23, Auba na laca hawa hawana muda mrefu Arsenal, Nasikia Arsenal wamejaribu kumuweka laca kwenye hili deal ila inaonekana Inter wanataka cash tu.
Kuhusu Balogun uzuri hawa watoto wengi wa Hale end, inaonekana Wenger aliwaRecruit kigezo kikubwa ilikuwa kucheza multiple positions, huyu anapiga LW ,CF. Binafsi naona watafit tu hii ya Arteta ni long term project.
Kesho tutaweka Akina Batshwyai, Zappacosta, Bakayoko, Baba Rahman, na wengine wote waliokuwa kwa mkopo..Sasa kama mahari yako ilimaliziwa mpaka ukaolewa Dubai kwanini hela ya Pepe isimaliziwe?
Wewe 😅😅😅 kikosi B 😅😅😅 hicho ni kikosi B!!!!???😅😅😅Kesho tutaweka Akina Batshwyai, Zappacosta, Bakayoko, Baba Rahman, na wengine wote waliokuwa kwa mkopo..
Kikosi A na B mtakutananacho kwenye ligi..
Huyu Ben White tumepigwa wazee..
😂😂😂 Arsenal bhana 😂😂😂 ety LokongaLokonga yupo poa sana ameonesha sio mzigo kwenye hizi mechi mbili tatu, ila Luca Jovic wanini mzee? Lautaro huyo hapo yupo willing toeni pesa tu.
Binafsi navutiwa sana na wachezaji wa America kusini cuz they're not system players, kuna ile natural taste ya South America mchezaji muda wowote anashinda mechi.
Mfano Rodrigo de paul tulikuwa wa kwanza kuhusishwa naye binafsi nilikuwa simjui, ila Copa America kaonesha he is something else.
Huu upuuzi uliishia wapi.?Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa. Sasa story hii kama inataka kufanana ya arsenal baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa stoke na Liverpool. Toka kufungwa na Liverpool arsenal ni ushindi tu na suluhu
Cheltako kwenye Umbumbumbu wakoMshabiki halali wa chelsea nmehamia hapa kwa muda mpaka tutakapo-maliza jambo letu kwenu Asengegwe
Ndio ndio bossCheltako kwenye Umbumbumbu wako