Wacha, unaweza badili jina ukajiita Khe khe khe kheeeeeee?
Belo
Vipi mmemalizana na Sheik! ...? khe khe kheeeeeeeeee au mmeghairi? Nasikia Wigan wanawachubiri .... ..... ...
THE GUNNERSSS hebu 2endelee kuomba na kusal ili jumapili kikombe kiwe che2 kihalali plz plz mpk kesho nitawapa jibu kikombe cha jpil 2takichukuwaje The GUNNERSS...OYEE...!
Wanajamii tena wanaARSENAL na mitimu mingne pinzan.Mkubal mkatae kesho kombe linakwenda kwa ARSENAL WENGER hii ni baada ya miaka mi3 kutokuwa nalo. Na kwaukwel ulio waz anashnda goli 3 kwa 1 kwa maelezo zaid chek mech sa nne kesho usiku. Senkyu senkyu THE GUNNERSSS OYEE...
Yaani kuna kipindi ndugu mnakuwa wanafiki sasa sijui mkikosa ndo huwa mnakua na kale kamsemo "sizitaki mbivu hizi........" nyie si mlikua mnadharau carling cup mbona sasa hadi el captain Fab analilia kucheza au ndo simba akizidiwa anakula hadi.......THE GUNNERSSS hebu 2endelee kuomba na kusal ili jumapili kikombe kiwe che2 kihalali plz plz mpk kesho nitawapa jibu kikombe cha jpil 2takichukuwaje The GUNNERSS...OYEE...!
Yaani kuna kipindi ndugu mnakuwa wanafiki sasa sijui mkikosa ndo huwa mnakua na kale kamsemo "sizitaki mbivu hizi........" nyie si mlikua mnadharau carling cup mbona sasa hadi el captain Fab analilia kucheza au ndo simba akizidiwa anakula hadi.......
Kila la kheri vijana .........si unajua haba na haba ujaza emirates,ooops kibaba.:rain:
Yaani kuna kipindi ndugu mnakuwa wanafiki sasa sijui mkikosa ndo huwa mnakua na kale kamsemo "sizitaki mbivu hizi........" nyie si mlikua mnadharau carling cup mbona sasa hadi el captain Fab analilia kucheza au ndo simba akizidiwa anakula hadi.......
Kila la kheri vijana .........si unajua haba na haba ujaza emirates,ooops kibaba.:rain:
Leo SABABU ninayo, NIA ninayo na SHAUKU ninayo sanaaaaaa ya kuona Arsenal wanatakata pale Wembley....Lakiniiiii......!................(naomba nije kumalizia kitendawili hiki badae).
Wasalaam watani....!
Wigan 0 Man United 4Belo
Vipi mmemalizana na Sheik! ...? khe khe kheeeeeeeeee au mmeghairi? Nasikia Wigan wanawachubiri .... ..... ...
Wigan 0 Man United 4
Nilikuwa na majukumu ,leo mbona hujatuwekea picha kutoka The Sun?Kama unakuja baada ya mechi limekuwa la kuvunda hilo khe khe kheeeeeeeeeeee Ulikuwa umejificha wapi? Nasikia Chelsick waliwafunga Wigan goli 6 - 0
Wine Romney amefungiwa mechi tatu vipi mtakata rufaa?
Nilikuwa na majukumu ,leo mbona hujatuwekea picha kutoka The Sun?
Sasa mbona misimu mingine huwa mnasema mnafocus kwenye makombe makubwa ambayo huwa hamshindi.kaka acha umbea kama mnafik wewe ndo mnafiki kakwambia nan 2lizarau carling cup wewe baada ya kuona hulipat ndo mkaanza kuzalau baaday ya kuona hulipat
Mkuu sisi tunataka mshinde walau hiki si unajua tena ni muda tokea mnyanyue kwapa...........isije kuwa achievement kubwa ni kumfunga barca this season.....Mbona mnakuja kuwanga asubuhi asubuhi! Vipi jana mlifungwa nini? Khe khe kheeeeeeeeeeeee
Mkuu sisi tunataka mshinde walau hiki si unajua tena ni muda tokea mnyanyue kwapa...........isije kuwa achievement kubwa ni kumfunga barca this season.....
Tangu lini nyie mlianza kutaka Arsenal ishinde walau hiki kikombe????? Hautakua Happy kama Arsenal ikilose leo???? Unafiki tu.....Na Bado.....